Mkeka bado unapumua ?

Mkeka bado unapumua ?

Manyanza

Platinum Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
19,946
Reaction score
45,571
downloadfile-68.jpg

Kwa yanayoendelea nchini utabiri wa huyu mzee bado upo hai ?
 
huyu jamaa alikuwa high priest kuhani,nchi haina dini ila hawa jamaa ndio walikuwa makuhani na watabiri,huyu alitabiri tutashinda vita ya kagera,huyu na forojegonze na mwalimu wanahusika na habari ya kukimbiza mwenge.

mwalimu ana sema moja ya tambiko lilichombwa kama mtaro akachinjwa mbuzi akaambiwa aruke aende akadai uhuru..moja ya clip za mwalmu anaelezea kutambikiwa kabla ya kwenda kudai uhuru.

hawa wanajua matambiko,mazindiko,maagano mila walizozifanya pia habari ya mwenge..katika madhabahu za miungu ya mizimu.

ambayo sio dini nchi haina dini.

Kwa nafasi yake aliyokuwa nayo kama kweli alisema anajua maagano waliyoingia na kizimu juu ya inji...

MAOMBI YA WATAKATIFU YANAHITAJIKA ili hizi madhabahu nzito nzito za giza zilizopokea sadaka/nyingi ,..zisiweze kuachilia roho ya mauti ,mana kuzimu haina baraka ila ina mauti na laaana.

shetani hana baraka no wonder tupo hapa tulipo ni kwa sababu ya vifungo vya maagano ya kiroho.

MAOMBI YANAHITAJIKA ..maombi makubwa ya kumlilia Mungu..
 
Back
Top Bottom