Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kaandika huko mtandao wa X.. AFCON 2027 Itumike kudai haki Tanzania kwa kufanya maandamano ya kihistoria. Siku ya ufunguzi wa Afcon Tanzania iwe ni siku ya maandamano makubwa zaidi ya yale ya...
13 Reactions
62 Replies
1K Views
Uchaguzi wa 2030 huo ndo utakua hatari zaidi ya October 29 wananchi wa sasa wanajua sio wajinga Magufuli aliwahi kusema watanzania sio wajinga kama watu wanavyodhania...
14 Reactions
37 Replies
301 Views
Mabadiliko huwa yanatia uoga kwa sababu yana gharama zake. Kama kuna vitu umevishikilia, lazima vingine viondoke, ubakize vichache au ukubali kupoteza vyote. CCM bado wana uoga wa mabadiliko...
0 Reactions
4 Replies
63 Views
Saa 3 kamili asubuhi , Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Wegesa Heche amefika mahakamani kuulizwa maswali ya Dodoso na Mawakili wa Jamhuri Kaa tayari kwa updates Mwenyekiti wetu Tundu Lissu...
35 Reactions
384 Replies
12K Views
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitaendelea kuwa mfano wa demokrasia nchini, kikisisitiza kuwa misingi hiyo inaanza ndani ya Chama chenyewe. CCM imesema imekuwa ikizingatia misingi ya...
0 Reactions
4 Replies
112 Views
Tulitarajia Ushahidi wake ndio ungekuwa chachu ya kumnyonga Tundu Lissu, lakini kakimbia Hii ni kwa sababu ule Ushahidi wa kwenye yale makabati ya mbao, ule ushahidi wa wale wahalifu waliohongwa...
24 Reactions
34 Replies
720 Views
Akiwasilisha maadhimio ya Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Leo Septemba 19, 2026, Dkt. Rugemeleza Nshala, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA amesema; “Kamati Kuu inasema kile...
12 Reactions
29 Replies
397 Views
Wakuu, Jana Chivayo alikuwa mjini, na kwenda kusalimia Ikulu kulingana na picha pamoja na melezo aliyoweka. Safari hii amepewa na maelezo ya kuandika kwenye caption. Unadhani ni mazungumzo gani...
7 Reactions
56 Replies
2K Views
Tukiacha Mihemko, Ukiangalia Tanzania ya leo, kuna mambo mengi yanaendelea. Kuna miradi inajengwa, huduma zinaendelea kuboreshwa na mipango ya maendeleo inaendelea kuwekwa kwa ajili ya miaka...
1 Reactions
19 Replies
112 Views
Mnamo mwezi Jan 2026 nilisema namna Mh Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dr Hussein Ally Mwinyi anvyokonga nyoyo za wazanzibar kwa kuwaletea maendeleo endelevu kisiwani humo. Nilisema pia...
8 Reactions
47 Replies
781 Views
Wanaukumbi. LISSU ALIKUWA HAJUI KUWA ANACHEZA NA MOTO📌 INAWEZEKANA KABISA Bwana Lissu alikuwa hajui kuwa anacheza na moto au alikuwa anacheza na watu wako siriazi na mambo haya mpaka...
9 Reactions
145 Replies
2K Views
Kupitia ukurasa wake rasmi wa X, mfanyabiashara na mwizi wa uchaguzi Wicknell Chivayo ameweka wazi azma yake kuwekeza kiasi cha takriban Tsh. Bilioni 500 (Dola Milioni 200) katika sekta ya utalii...
8 Reactions
39 Replies
987 Views
Salam Wakuu, Huyu jamaa ana mpaka rekodi ya kufungwa kutokana na utapeli! Huwa anapewa tenda ya vifaa vya uchaguzi na huko ndio anapata na mwanya wa kutoa michoro ya kuharibu uchaguzi kwa kuhonga...
11 Reactions
250 Replies
28K Views
Mwenendo wote kesi ya Lissu leo Ijumaa, Septemba 18, 2026 KARANI:* Anajiandaa kusoma kesi ya Criminal Session, Kesi Namba 19605 ya Mwaka 2025. JAMHURI DHIDI YA TUNDU ANTIPAS LISSU WAKILI...
17 Reactions
102 Replies
2K Views
PART 1 SUB TITLE: Kiini macho (illusion) Cha Sanduku la Kura (Ballot Paper), Na Sababu Kwa Nini kupata Katiba Mpya na kubadili Sheria sio suluhisho la kudumu. By Suzi Rafael, Nchini Tanzania...
2 Reactions
7 Replies
101 Views
1.Dar =17.1T 2.Arusha=1.32T 3.Tanga=533.5B 4.Kilimanjaro =353.27B 5.Coast=294.9B 6.Songwe=294.5B 7.Mtwara=271.8B 8.Mwanza=242.8B 9.Dodoma=240.1B 10.Morogorogo=230.7B 11.Kagera=221.6B...
3 Reactions
31 Replies
786 Views
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuwa CNN, MSNBC na Politico hazitaruhusiwa kuingia White House, katika kile kinachoonekana kuwa hatua mpya ya mzozo wake wa muda mrefu na vyombo vya...
0 Reactions
2 Replies
95 Views
Maelekezo ya kutoka juu ni kuanzia kesho tunaanza kuombea Super El-nino. Msikose
2 Reactions
10 Replies
96 Views
Kwa nchi kama USA kesi huwa zinaendeshwa na Majaji lakini wanaotoa hukumu ni Wananchi wenyewe ambao wanajukana kama Jury. Sasa kwa kesi ya Lissu wananchi tumeifuatilia vizuri sana na ushahidi wa...
5 Reactions
1 Replies
70 Views
Nadhani hakuna ubishi wala mashaka dhidi ya haiba, uwezo, uzoefu, uadilifu na weledi wa Dr. Emmanuel John Nchimbi kwenye nafasi yake kama makamu wa Rais wa Tanzania. Mungwana amesimana vizuri...
9 Reactions
122 Replies
2K Views
Back
Top Bottom