Katika mazingira ya kawaida maadui wake waliotaka kumtoa uhai hawafurahishwi huyu bwana kuendelea kuishi.
Walitegemea wangemaliza historia yake lakini wakashindwa.
Ukiacha maeneo mbalimbali ya...
Rais wangu Samia Suluhu Hassan anawezaje kujenga SGR kilometa 1,063 kwa TZS 10.1T | SG kwa TZS 6.5T na miradi mingine huku akiachilia vicheko kwa makundi mbalimbali ya watanzania,
" Hakuna...
Nina maswali kadhaa ambayo kutokana na umuhimu na uzito wake nimelazimika kuyauliza katika uzi mpya badala ya kutumia nyuzi za kesi hiyo zilizopo sasa.
Siku ya leo wakati Ramadhan Kingai...
Aliekuwa mgombea ubunge kupitia hatua za awali za kupata kupeperusha bendera ya c.c.m Musoma mjini Dr. Kayombo afariki ktk hospital ya Mkoa wa Mara alfajiri alipokuwa akipata matibabu.
Kayombo...
Kwa ile kauli aliyoitoa Kingai leo, Na kwa Elimu na Ufahamu wa Mwongoza njia wetu natumai amefurahi sana ile kusema kua atafurahi Lissu akikutwa na kosa ana akahukumiwa..
Yale hayakua maneno ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Chuo kikuu cha Havard kinachopatikana Nchini Marekani ni Chuo Bora kabisa Ulimwenguni ambacho kimekuwa kikishika nafasi ya kwanza kwa Ubora Duniani,huku Yale University...
Msifanye mzaha kwenye maisha ya watu, nampa Rai Katambi, ndani ya wiki moja awe ametoka hadharani na kueleza Dkt. Nchimbi yuko wapi na yuko salama.
Isizidi hata wiki moja, kama hatafanya hivyo...
Hapa ni great thinker wanaweza kuelewa nachomaanisha hapa.
Kazi kubwa ya Lisu amehitimisha Leo kufunua udhaifu mkubwa wa mihimili ya nchi yetu.
Kazi imebaki Kwa wananchi kuchukua hatua za...
Inadaiwa Mkuu wa JWTZ CDF Mkunda, hajapendezwa na kuitwa kwake Mahakamani.
Wote tunajua Jeshi letu lilivyo na kashifa miaka nenda rudi. Kwanza tutamuuliza kama anaumizwa na ufisaidi. Na kama...
https://youtu.be/mSwjE0vLsH4?si=3rPplPdtVQr3X7j-
Anasema:
1. Mara ya mwisho yeye kuwa DSM kwenye kesi ya mdogo wake ni tarehe 10 - 15/8/2026, akarudi Arusha nyumbani kwake na toka wakati huo...
Kwa juhudi zake tena bila kuchoka wala kukata tamaa katika kutetea haki za binadamu, kupigania utawala bora wa kisheria na kupigania demokrasia nchini, Tundu Lissu anastahili kabisa kutunukiwa...
Mara nyingi tumekuwa tukiwasikia viongozi wa Jeshi la Polisi wakiomba ushirikiano kutoka kwa wananchi, lakini cha ajabu ni kwamba wenyewe walipoonbwa ushirikiano wakagoma kabisa, mbaya zaidi ni...
Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Lissu angekubali kirahisi hao mashahidii kutohijiwa kwa cross examination iwapo wangekataa kuwa upande wake..
Kingine kilichonishangaza, ni DCI Kingai kuwasemea...
YAH: UTEUZI WA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR
Tafadhali husikeni na mada iliyotajwa hapo juu.
Ofisi ya Baraza la Mapinduzi inapenda kutoa taarifa kwa Vyombo vya Habari na Umma kwa ujumla...
Hamjambo wote!
Moja ya Mambo makubwa ambayo viongozi wakubwa, watu wenye Akili, na matajiri wanathamini sana ni pamoja na HESHIMA. Kwao heshima niya thamani sana.
Walitafuta vyeo na nguvu kwa NJ...
Kama ndani wa jukwaa hili la siasa,
Kwa mtazamo au maoni yako huru, unadhani kimetokea nini na kipi kinakwenda kuamuliwa hata kamati kuu ya chadema taifa kukutana kwa dharura kiasi hicho?🐒
Mungu...
𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨 𝗔𝗞𝗨𝗧𝗔𝗡𝗔 𝗡𝗔 𝗪𝗔𝗠𝗜𝗟𝗜𝗞𝗜 𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗕𝗔𝗦𝗜 𝗡𝗖𝗛𝗜𝗡𝗜.
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, amefanya mazungumzo na viongozi wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA). Kikao hicho kimefanyika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.