Je, mtu kujiunga CCM ni ujinga? Je, wana CCM ni wajinga? Je, watanzania wanaoichagua CCM, kila uchao ni wajinga? Its not fair

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,466
113,548
Wanabodi,

Hili ni bandiko la swali, JF ni ukumbi huru kwa watu wote wa aina zote, rangi zote, hali zote, jinsia zote, vyama vyote hata wasio na vyama, sasa kwanini member wa jf, akijiunga CCM anabezwa sana humu hadi kutukanwa?!.

Jee mtu kujiunga CCM ni kosa?, ni ujinga?. Jee wana CCM ni wajinga?. Jee Watanzania wanaoichagua CCM, kila uchao kupitia uchaguzi mkuu huru na wa haki ni wajinga?.

Wana jf wenzangu, this it's not fair kumtukana mtu mjinga eti tuu kwa sababu amesema anataka kujiunga CCM!. Where is political tolerance?, Where is managing political diversity?. Watu tunatukanana wajinga kwasababu tuu mtu ametaka kujiunga chama fulani?!.

Japo humu tumo members tofauti tofauti wenye kazi tofauti tofauti, na vipaji tofauti tofauti.

Mimi kazi yangu rasmi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea.

Waandishi wa kujitegemea tuko wa aina mbili na wote tunaitwa ma freelance journalists, kundi la kwanza ni Media Freelancing ambao ni waandishi wanaojitegemea lakini wanandikia media fulani kama correspondence na wanalipwa na hizo media per stories.

Kundi la pili ni Independent freelancing, ambao tunafanya uandishi wa kujitegemea kwa kujitolea, hatuna media yoyote specific tunayopelekea na stories zetu tunapeleka bure na hatulipwi na media yoyote, we are doing journalism just for the love of it and not for the gain from it.

Ili Mwandishi uweze kuwa an independent freelance journalist, lazima kwanza uwe na shughuli nyingine ya kukuingizia kipato cha kuendesha maisha yako, ndipo ufanye uandishi wa bure kwa mapenzi tuu.

Hivyo mimi licha ya kuwa ni mwandishi wa kujitegemea, miongoni mwa shughuli zangu za kuniingizia kipato ni ushereheshaji, yaani MC kwenye sherehe mbalimbali.

Sasa kufuatia leo tarehe 01 mwenzi wa Nne kila mwaka ni sikukuu ya wajinga, yaani April Fool's Day ambayo huwa inaadhimishwa kwa jokes mbalimbali tangu asubuhi, mwisho Ni saa 6:00 mchana, hivyo leo katika kuadhimisha siku hii mimi nikajitolea kuwa mshereheshaji kwa kupiga joke ya kujiunga CCM kwa kufanya simulation ya hypothetical situation ya sherehe ya kujiunga CCM na kupokelewa pale CCM Lumumba.

Hivyo nikasherehesha kwa joke ya kujiunga CCM.

Kitu kilicho nihuzunisha na kunisikitisha sana ni kwa members humu kunitukana sana kuwa mimi ni mjinga, kujiunga CCM ni ujinga na CCM ni chama cha wajinga na hadi wengine kunishangaa!.

Sasa nawauliza watu humu hivi ni kweli mtu kujiunga CCM ndio mjinga, ila kujiunga vyama vingine ndio akili?. Kuwa mwana CCM ni ujinga? ,ila ukiwa upinzani ndio werevu?.

Mnamaanisha wana CCM ni wajinga?. Na kwa vile CCM ndicho chama tawala nchini Tanzania na kimepewa ridhaa ya kuitawala Tanzania na Watanzania, , kupitia uchaguzi huru na wa haki, jee inamaana Watanzania wanaoipa CCM ridhaa ya kuitawala Tanzania milele nao pia ni Wajinga?.

My Take.
This is not fair mtu kutaka kujiunga CCM utatukanwa mjinga lakini ukijiunga upinzani ndio unapongezwa!.

Kama jf ina represent a cross section ya Watanzania, then natoa wito kwa Watanzania wenzangu tujifunze political tolerance ya kuwavumilia wale ambao tunatofautiana nao kisiasa, tusiwatukane, tuwaheshimu na kuheshimiana.

Tukubali tukatae, kwa vile CCM ndicho chama tawala, hivyo ndicho chama pekee kinachoongoza kwa fursa za kuleta maendeleo, hivyo mtu yoyote mwenye nia ya dhati ya kuleta maendeleo Tanzania, then chama cha kujiunga nacho ni CCM. Na kwa political dynamics ya siasa zetu kuelekea 2020, kama una nia ya kufanya siasa ni full time job, then the direction is one and only, CCM.

Mimi mpaka sasa bado ni Mwandishi wa habari wa kujitegemea, kwa mujibu wa maadili ya kazi ya uandishi tunapaswa kuandika ukweli, truthfully with objectivity, impartiality and balances, Mwandishi wa habari pia yuko huru kujiunga na chama chochote cha siasa, na kugombea uongozi ila kwenye kuandika kwake, anapaswa kuendelea kuwa truthfully, objective or impartial bila kuegemea upande wa chama chake.

Ila hata mimi nikiamua sasa kazi ya uandishi basi, na kuamua kuigeukia siasa za fursa, of course chama nitakachojiunga nacho ni Chama kimoja tuu kile kile kilichopo nchini Tanzania, the one and only chenye haki miliki ya kutawala Tanzania milele kutokana na long experience ya uzoefu wa muda mrefu kutawala, hivyo ni chama cha fursa, nitawaomba sana ndugu zangu humu mnielewe, msinitukane mjinga na kujiunga CCM sio ujinga, wana CCM sio wajinga, na Watanzania wanaoichagua CCM kila uchao sio wajinga, japo zamani hata mimi niliamini hivyo, ila kuamini ni jambo moja na ukweli halisi ni jambo jingine.

Swali la kujiuliza ni nimejoke tuu kujiunga CCM nimetukanwa hivi, jee siku nikijiunga rasmi na CCM ukweli ukweli itakuwaje?.

Sasa ndio naanza kuelewa kwanini humu JF, tuna baadhi ya members kama hawa lakini tumebakiwa na majina tuu lakini hawachangii kitu.
Paul Makonda
Juliana Shonza
Nape Nnauye
Anna Tibaijuka
Mwigulu Nchemba
HKigwangalla

Nawatakia Jumatatu Njema.
Wasalaam.
Paskali
Rejea
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja?
 
Umri wako unaweza kuwa ni sehemu ya tatizo ingawa wewe si mzee!

Watu wengi wenye umri kama wako na zaidi, ni mashabiki wa CCM bila kujali CCM imeathiri vipi maisha ya ujana wao na ya familia zao wakiwemo na ndugu zao.

Hata wazee wa iliyokuwa Jumuiya ya Afika Mashariki, wengi wao leo hii wanaweza kuwa ni mashabiki wakubwa wa CCM ingawa haki zao kwa miaka mingi zimekuwa zikipuuzwa.

CCM imefanya watu kuwa wajinga kwa kiasi kikubwa sana!
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la swali
Jee Mtu Kujiunga CCM ni Ujinga?. Jee Wana CCM ni Wajinga?. Jee Watanzania Wanaoichagua CCM, Kila Uchao Kupitia Uchaguzi Huru na Wa Haki ni Wajinga?. Its Not Fair Kumtukana Mtu Mjinga eti kwa sababu tuu amesema anataka kujiunga CCM!. Where is political tolerance?, Where is managing political diversity?. Watu tunatukanana wajinga kwasababu tuu mtu ametaka kujiunga chama fulani?!.

Japo humu tumo members tofauti tofauti wenye kazi tofauti tofauti, na vipaji tofauti tofauti.

Mimi kazi yangu rasmi ni Mwandishi wa Habari wa Kujitegemea Kwa Kujitolea.

Waandishi wa kujitegemea tuko wa aina mbili na wote tunaitwa ma freelance Journalist, kundi la kwanza ni Media Freelancing ambao ni waandishi wanaojitegemea lakini wanandikia media fulani kama correspondence na wanalipwa na hizo media per stories.

Kundi la pili ni Independent Freelancing, ambao tunafanya uandishi wa kujitegemea kwa kujitolea, hatuna media yoyote specific tunayopelekea na stories zetu tunapeleka bure na hatulipwi na media yoyote, we are doing journalism just for the love of it and not the gain from it.

Ili Mwandishi uweze kuwa an Independent Freelance Journalist, lazima kwanza uwe na shughuli nyingine ya kukuingizia kipato cha kuendesha maisha yako, ndipo ufanye uandishi wa bure kwa mapenzi tuu.

Hivyo mimi licha ya kuwa ni Mwandishi wa kujitegemea, miongoni mwa shughuli zangu za kuniingizia kipato ni Ushereheshaji, yaani MC kwenye sherehe mbalimbali.

Sasa kufuatia leo Tarehe 01 mwenzi wa Nne kila mwaka ni Sikukuu ya wajinga, yaani April Fool's Day ambayo huwa inaadhimishwa kwa jokes mbalimbali tangu asubuhi, mwisho Ni saa 6:00.

Hivyo leo katika kuadhimisha siku hii mimi nikajitolea kuwa mshereheshaji kwa kupiga joke ya kujiunga CCM kwa kufanya simulation ya hypothetical situation ya sherehe ya kujiunga CCM na kupokelewa pale CCM Lumumba.

Hivyo nikasherehesha kwa joke ya kujiunga CCM.

Kitu kilicho nihuzunisha na kunisikitisha sana ni kwa members humu kunitukana sana kuwa mimi ni mjinga, kujiunga CCM ni ujinga na CCM ni chama cha wajinga na hadi wengine kunishangaa.

Sasa nawauliza watu humu hivi ni kweli mtu kujiunga CCM ndio mjinga, ila kujiunga vyama vingine ndio akili?. Kuwa mwana CCM ni Ujinga? ,ila ukiwa upinzani ndio werevu?.

Mnaamaanisha Wana CCM ni wajinga?. Na kwa vile CCM ndicho chama tawala nchini Tanzania na kimepewa ridhaa ya kuitawala Tanzania na Watanzania, , kupitia uchaguzi huru na wa haki, jee inamaana Watanzania wanaoipa CCM ridhaa ya kuitawala Tanzania milele nao pia ni Wajinga?.

My Take.
This is not fair mtu kutaka kujiunga CCM utatukanwa mjinga lakini ukijiunga upinzani ndio unapongezwa!.

Kama jf ina represent a cross section ya Watanzania, then natoa wito kwa Watanzania wenzangu tujifunze political tolerance ya kuwavumilia wale ambao tunatofautiana nao kisiasa, tusiwatukane, tuwaheshimu na kuheshimiana.

Tukubali tukatae, kwa vile CCM ndicho chama tawala, hivyo ndicho chama pekee kinachoongoza kwa fursa za kuleta maendeleo, hivyo mtu yoyote mwenye nia ya dhati ya kuleta maendeleo Tanzania, then chama cha kujiunga nacho ni CCM. Na kwa political dynamics ya siasa zetu kuelekea 2020, kama una nia ya kufanya siasa ni full time job, then the direction is one and only, CCM.

Mimi mpaka sasa bado ni Mwandishi wa habari wa kujitegemea, kwa mujibu wa maadili ya kazi ya uandishi tunapaswa kuandika ukweli, truthfully with objectivity, impartiality and balances, Mwandishi akijiunga na chama chochote cha siasa, hawezi tena kuwa truthfully, objective or impartial lazima utaegemea upande.

Ila hata mimi nikiamua sasa kazi ya uandishi basi, na kuamua kuigeukia siasa za fursa, of course chama nitakachojiunga nacho ni Chama kimoja tuu kile kile kilichopo nchini Tanzania, the one and only chenye haki miliki ya kutawala Tanzania milele kutokana na long experience ya uzoefu wa muda mrefu kutawala, hivyo ni chama cha fursa, nitawaomba sana ndugu zangu humu mnielewe, msinitukane mjinga na kujiunga CCM sio ujinga, wana CCM sio Wajinga, na Watanzania sio Wajinga kuchagua CCM kila uchao, japo zamani hata mimi niliamini hivyo, ila kuamini ni jambo moja na ukweli halisi ni jambo jingine.

Nawatakia Jumatatu Njema.
Wasalaam.
Paskali
Ni wajinga
 
Baba wa Taifa hakuwa mpumbavu ndiyo sababu akasema hadharani ccm si mama yake. Na wakati ule ccm haikuwa (katika hali mbaya kama ilivyo sasa) na mafisadi, majizi wakubwa, waongo wa kupindukia, watekaji, watesaji na hata WAUAJI. Angekuwa hai sijui angesema nini kuhusu huyu nduli na muuaji.

Wa kukuelewa tumekuelewa, ccm ina wenyewe, ni ujinga na ujuha wa kiwango cha Phd kujiunga ccm ili ukawe karai, lakini kwa mtu wa kariba yako kujiunga na ccm ni lazima kuwe na makubaliano maalum and will strong support you, mwisho wa siku watoto wanataka ada ya shule.

Binafsi siwezi kujiunga na ccm wala kuiligia kura ccm kwa sababu sina reward yoyote huko, na kama kupiga kura kwa imani nitaendelea kuwapa kura yangu opposition.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la swali
Jee Mtu Kujiunga CCM ni Ujinga?. Jee Wana CCM ni Wajinga?. Jee Watanzania Wanaoichagua CCM, Kila Uchao Kupitia Uchaguzi Huru na Wa Haki ni Wajinga?. Its Not Fair Kumtukana Mtu Mjinga eti kwa sababu tuu amesema anataka kujiunga CCM!. Where is political tolerance?, Where is managing political diversity?. Watu tunatukanana wajinga kwasababu tuu mtu ametaka kujiunga chama fulani?!.

Japo humu tumo members tofauti tofauti wenye kazi tofauti tofauti, na vipaji tofauti tofauti.

Mimi kazi yangu rasmi ni Mwandishi wa Habari wa Kujitegemea Kwa Kujitolea.

Waandishi wa kujitegemea tuko wa aina mbili na wote tunaitwa ma freelance Journalist, kundi la kwanza ni Media Freelancing ambao ni waandishi wanaojitegemea lakini wanandikia media fulani kama correspondence na wanalipwa na hizo media per stories.

Kundi la pili ni Independent Freelancing, ambao tunafanya uandishi wa kujitegemea kwa kujitolea, hatuna media yoyote specific tunayopelekea na stories zetu tunapeleka bure na hatulipwi na media yoyote, we are doing journalism just for the love of it and not the gain from it.

Ili Mwandishi uweze kuwa an Independent Freelance Journalist, lazima kwanza uwe na shughuli nyingine ya kukuingizia kipato cha kuendesha maisha yako, ndipo ufanye uandishi wa bure kwa mapenzi tuu.

Hivyo mimi licha ya kuwa ni Mwandishi wa kujitegemea, miongoni mwa shughuli zangu za kuniingizia kipato ni Ushereheshaji, yaani MC kwenye sherehe mbalimbali.

Sasa kufuatia leo Tarehe 01 mwenzi wa Nne kila mwaka ni Sikukuu ya wajinga, yaani April Fool's Day ambayo huwa inaadhimishwa kwa jokes mbalimbali tangu asubuhi, mwisho Ni saa 6:00.

Hivyo leo katika kuadhimisha siku hii mimi nikajitolea kuwa mshereheshaji kwa kupiga joke ya kujiunga CCM kwa kufanya simulation ya hypothetical situation ya sherehe ya kujiunga CCM na kupokelewa pale CCM Lumumba.

Hivyo nikasherehesha kwa joke ya kujiunga CCM.

Kitu kilicho nihuzunisha na kunisikitisha sana ni kwa members humu kunitukana sana kuwa mimi ni mjinga, kujiunga CCM ni ujinga na CCM ni chama cha wajinga na hadi wengine kunishangaa.

Sasa nawauliza watu humu hivi ni kweli mtu kujiunga CCM ndio mjinga, ila kujiunga vyama vingine ndio akili?. Kuwa mwana CCM ni Ujinga? ,ila ukiwa upinzani ndio werevu?.

Mnaamaanisha Wana CCM ni wajinga?. Na kwa vile CCM ndicho chama tawala nchini Tanzania na kimepewa ridhaa ya kuitawala Tanzania na Watanzania, , kupitia uchaguzi huru na wa haki, jee inamaana Watanzania wanaoipa CCM ridhaa ya kuitawala Tanzania milele nao pia ni Wajinga?.

My Take.
This is not fair mtu kutaka kujiunga CCM utatukanwa mjinga lakini ukijiunga upinzani ndio unapongezwa!.

Kama jf ina represent a cross section ya Watanzania, then natoa wito kwa Watanzania wenzangu tujifunze political tolerance ya kuwavumilia wale ambao tunatofautiana nao kisiasa, tusiwatukane, tuwaheshimu na kuheshimiana.

Tukubali tukatae, kwa vile CCM ndicho chama tawala, hivyo ndicho chama pekee kinachoongoza kwa fursa za kuleta maendeleo, hivyo mtu yoyote mwenye nia ya dhati ya kuleta maendeleo Tanzania, then chama cha kujiunga nacho ni CCM. Na kwa political dynamics ya siasa zetu kuelekea 2020, kama una nia ya kufanya siasa ni full time job, then the direction is one and only, CCM.

Mimi mpaka sasa bado ni Mwandishi wa habari wa kujitegemea, kwa mujibu wa maadili ya kazi ya uandishi tunapaswa kuandika ukweli, truthfully with objectivity, impartiality and balances, Mwandishi akijiunga na chama chochote cha siasa, hawezi tena kuwa truthfully, objective or impartial lazima utaegemea upande.

Ila hata mimi nikiamua sasa kazi ya uandishi basi, na kuamua kuigeukia siasa za fursa, of course chama nitakachojiunga nacho ni Chama kimoja tuu kile kile kilichopo nchini Tanzania, the one and only chenye haki miliki ya kutawala Tanzania milele kutokana na long experience ya uzoefu wa muda mrefu kutawala, hivyo ni chama cha fursa, nitawaomba sana ndugu zangu humu mnielewe, msinitukane mjinga na kujiunga CCM sio ujinga, wana CCM sio Wajinga, na Watanzania sio Wajinga kuchagua CCM kila uchao, japo zamani hata mimi niliamini hivyo, ila kuamini ni jambo moja na ukweli halisi ni jambo jingine.

Nawatakia Jumatatu Njema.
Wasalaam.
Paskali

Siyo ujinga, siyo wajinga, siyo wajinga.... lakini hapo kwenye watanzania wanaoichagua ccm kila uchao ndo kuna ujinga hapo.... kuamini kuwa watanzania wanaichagua ccm kisha ikashinda ni ujinga, ambaye anashinda wala hana haja ya kutumia nguvu kubwa kwa wananchi wasio na silaha. Asante.
 
Dhulma dhidi ya haki za umma na vyama.
Dhulma dhidi ya makundi mbalimbali ya watu.
Ni laana ambayo siku zote huwaandama wazinyonyao.
Na walaaniwe wote waishio ktk dhulma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja yako ni kuhusu ccm na ujinga wa wanaojiunga nayo au hoja ni uandishi wako wa habari ? kama wewe ulileta andiko kulenga siku ya wajinga kwanini usifikiri maoni ya waliochangia pia yalihusiana na siku hiyo hiyo ya wajinga ?

Kwanini unadhani wewe ndio mwenye haki zaidi ya kuandika kwenye siku ya wajinga kuliko wanajf wengine waliochangia kwenye uzi wako ?
 
Duh!! Nyumbu bado wengi sana aisee,
 
ni kweli kujiunga chama chochote cha siasa ni haki ya mtu, lakini pia ni ukweli kuwa CCM inatawala Tanzania kwa msaada mkubwa na wizi unaofanywa na TISS, jeshi la polisi na vyombo vingine vya dola, vyombo hivi kwa kukosa 'oversight' vimegeuka kuwa nyenzo ya CCM.

Hii inajenga chuki mioyoni mwa watu, labda wasomi wetu na wanamikakati hawalijui hilo lakini binadamu anapenda uhuru wa kuchagua kuliko hata paradiso, na ndio maana Adam na Eva walichagua uhuru wa kujua mema na mabaya.

Hivyo basi watu hawakutukani kuwa mjinga kwa sababu wewe ni mjinga kweli bali hawana namna nyingine ya amani ya kuelezea machungu yao yanayotokana na political abuse ya vyombo vya usalama na ulinzi dhidi ya demokrasia ya nchi hii. Kwahiyo mtu yeyote anaye elekea CCM anaonekana ni 'mmoja wao' wa hawa wakoloni weusi.

Hakuna kinachodumu milele, CCM itaanguka tena mapema kuliko wanavyofikiria, kama kutakua na ulazima wa sadaka ya damu basi na itakua hivyo.
 
Back
Top Bottom