Clip ya sauti inayodaiwa ni maongezi ya simu ya Wanasiasa William Mganga Ngeleja na Nape Moses Nnauye yavuja

Hivi kuna faida gani ya kusikiliza simu ya mtu? Hv hawa viongozi hawana kazi ya kufanya? Kuna mtu hasiye semwa kweli katika hii dunia? Kusiliza maongezi ya mtu ni kujipa pressure na kuongeza chuki zisizo na msingi kusema na kusemana ni mambo ya kawaida sana kwa binadamu...Yaani tassis kubwa ya uraisi kuanza kusikiliza umbeay wa watu kwa kweli ni aibu..
 
Hivi kuna faida gani ya kusikiliza simu ya mtu? Hv hawa viongozi hawana kazi ya kufanya? Kuna mtu hasiye semwa kweli katika hii dunia? Kusiliza maongezi ya mtu ni kujipa pressure na kuongeza chuki zisizo na msingi kusema na kusemana ni mambo ya kawaida sana kwa binadamu...Yaani tassis kubwa ya uraisi kuanza kusikiliza umbeay wa watu kwa kweli ni aibu..

Mbona umehitimisha? Kwani ishajulikana hayo mazungumzo yamepatikanaje?

Manake isije kuwa wamejirekodi wenyewe na kuzivujisha wenyewe...

Siasa mchezo mchafu sana.
 
wanao release hizi audio ni mabwege sana.

hawajui namna nzuri ya kucheza na audience yao.

kitendo cha ku release audio mbili ndani ya kipindi kifupi kinadhoofisha ile audio ya kwanza na kufanya series yao yote ionekane ni utoto.

wangekuwa na delay period. mafala hawa wanaharibu movie.
Tatizo unakuta anazo Jerry muru nikuachia tu kama nyimbo za ASLAY
 
NGELEJA HIVI UNAKWAMA WAPI BROTHER? WEWE NI WA KUINGIZWA MKENGE NA MAMLUKI NAPE

Unakwama wapi brother? Labda ndio swali la kuanza nalo wakati huu mfululizo wa video zilizoleak kutoka kwa Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye unavyozidi kuwaumbua vigogo.

Safari hii Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja amenaswa akiteta na Nape kuhusu masuala ya chama na Serikali.

Ngeleja anasikika akiunga mkono waraka wa Kinana na Makamba uliochafua hali ya hewa nchini.

Ndio maana nauliza tena unakwama wapi brother Ngeleja?

Wewe si ndio uliaminiwa na nchi ukiwa mmoja wa vijana wadogo lakini ukapanda hadi kuwa Waziri tena wa Wizara nyeti kama ya Nishati na Madini?

Si ni wewe huyu huyu ukautumia Uwaziri wako kishamba sana ukijinufaisha na kuingia mikataba ya kipuuzi na wawekezaji wa nishati na madini?

Nakumbuka hata sakata la Dowans umo na uliitetea sana kisha ikaja Escrow umo; ambapo ulichota milioni 42. Umesahau?

Katika mazingira tata na ili kujiokoa na Segerea ghafla miaka miwili iliyopita ukatangaza kurejesha fedha za Escrow (baada ya kuzizungusha kibiashara na kuzalisha faida);

Yote haya Serikali tukufu ya Chama cha Mapinduzi imekusitiri haujaenda Segerea.

Leo unakwama wapi hadi uungane na wasaliti wa aina ya Nape kusaliti juhudi za nchi?

Brother unakwama wapi?Je, ulikuwa unajipendeleza tu kwa Nape na Kinana au au ndio kusema nawe umetumwa na mafisadi waliokuwa wanakutumikisha ukiwa Waziri wa Nishati na Madini?

Brother usifeli kirahisi na kizembe hivyo Nape ana faili lake na wewe unafaili lako.

Kila mmoja apambane na hali yake; pambana kuwa mtu wa maana na acha kupambana kuwa mpumbavu.

Yani wewe Ngeleja ni mtu wa kuwa kwenye mipango ya kutala kuipindua Serikali ya Awamu ya Tano?
Kweli?

Yaani ndio umefika hapo brother, simple tu na kizembe zembe hivyo? Dah!

Alamsiki.
 
Back
Top Bottom