Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,889
- 8,487
Mtandao wa kukata tiketi wa kampuni ya Air Tanzania kwa miezi kadhaa sasa umekuwa chini kwa makusudi kabisa na inaonekana hamna anayeguswa na tatizo hili kwenye uongozi wa nchi yetu.
Wateja maelfu wa ATCL wanapata taabu sana kupati tiketi lakini wakijaribu kukata makampuni mengine mtandao uko fasta sana hivyo wateja kukimbilia huko.
Wateja maelfu wa ATCL wanapata taabu sana kupati tiketi lakini wakijaribu kukata makampuni mengine mtandao uko fasta sana hivyo wateja kukimbilia huko.