Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Hizi ndiyo lugha ambazo serikali dhwalimu huzielewa. Bila lugha hizi tutasubiri sana kwa madai yetu yote. Kwani imekuwaje hatimaye Ruto na Gachagua...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Naumia saana ninapowasikia watu wanamsifia aliekua raisi wa Tanzania John Magufuli nikikumbuka utawala wake ulivoumiza watu bora wakae kimya Wengi wanamkimbuka wanasema sijui kajenga madaraja...
23 Reactions
103 Replies
5K Views
Salaam, Nimefuatilia hotuba nyingi za kiongozi mkuu Nchi mara nyingi analalamika sana kuhusu watu walio chini yake lakini hachukui hatua madhubuti yeye ni kulalamika tu sijui shida ni nini...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Kada zenye watumishi wa umma wenye kutoa huduma maeneo ya vijijini mfano afya,elimu na kilimo,kada hizi zinaongoza Kwa watumishi hao kulala chumba kimoja, kutokana na ukosefu wa nyumba za...
1 Reactions
6 Replies
762 Views
Na Bwanku M Bwanku. Kwenye Gazeti la Tanzania Leo nimefanya uchambuzi wangu kuhusu mradi mkubwa wa magari yaendayo haraka (DART) unavyokimbia kwenye awamu zingine Jijini Dar es Salaam. Wote...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Na Gregory J.Mahanju; Kimekua ni kilio cha muda mrefu sana toka kwa wananchi wa jimbo la Singida Magharibi kuomba ufafanuzi na mchanganuo wa Matumizi ya pesa za mfuko wa jimbo lakini wamekua...
1 Reactions
9 Replies
997 Views
Mhe. Rais anatamamani Sana kupata watu wakumsaidia kwenye uwaziri; lakini may be Hana majina mengi ya watu wanaofaa na hivyo kulazimika kutumia majina yale yale. Great thinkers tunaweza kutumia...
8 Reactions
59 Replies
5K Views
Jeshi la Polisi kazi yao kubwa ni kulinda raia na mali zao, juzi imetokea sintofahamu ya pesa zao wenyewe kuibiana wao kwa wao ambapo kiasi cha tsh bilion 4.8 zimeliwa na watu wanaojiita wakubwa...
3 Reactions
3 Replies
3K Views
Matukio mawili ya mauaji ya raia yakihusisha askari wa Jeshi la Polisi, yamehitimisha mwezi uliopita vibaya, huku polisi PC 4489 Kaluletela akiwekwa mbaroni kwa tuhuma za mauaji ya Ng’ondi Marwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mbunge wa Tarime Vijijini Mwita Waitara amejibu Kuwa kile mlichoona mitandaoni hakikuwa bali alikuwa anatoa Sumu Mwilini na sasa kazi ndio inaanza na kwamba hatamwogopa mtu yoyote awe wa Serikali...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Hatimaye serikali imeamua kuanza ujenzi wa nyumba mpya maeneo ya Golden Tulip kwa ajili ya familia ya Maghufuli. Licha ya kujiuzia nyumba kadhaa jijini DSM, na hata zingine kwa vimada wake akiwa...
19 Reactions
111 Replies
9K Views
Kipi ni bora, wanyama pori au watanzania wanaoishi pembezoni mwa Hifadhi za Taifa. Hapa nitatoa mifano miwili. (1) Wananchi wanaoishi pembe zoni wa Hifadhi ya Serengeti Wilayani Tarime.Ikumbukwe...
0 Reactions
10 Replies
868 Views
Kwa mujibu wa ripoti ya E-Mobility Alliance, ambayo ilitolewa mwezi uliopita, inaonyesha kuwa kuna angalau magari 5,000 ya umeme (EVs) nchini Tanzania Ingawa uagizaji na utumiaji wa magari ya...
0 Reactions
2 Replies
661 Views
Pongezi nyingi kwa jitihada unazofanya za kuongoza nchi yetu na kurudisha hali nzuri ya mahusiano na uongozi wa kidemokrasia na kisheria. Najua una mambo mengi ila nitaandika kwa kifupi kabisa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Serikali ikiwa ipo katika mchakato wa matayarisho ya dira mpya ya Taifa ya maendeleo ya miaka 25 ijayo kuanzia 2025-2050 na hapo hapo kukiwa na mkakati wa kuendeleza mchakato wa katiba mpya, kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Rais aligoma kuwataja wale waliotoa mabilioni yao kufadhili Royal Tour! Rais akaendelea kuyaficha Majina ya aliodai wamekwapua pesa na kuzificha China! Rais akanyamazia tenda yenye kila harufu...
9 Reactions
25 Replies
2K Views
Wakati Tanzania/ Serikali inazindua leo maandalizi ya uaandaaji wa Dira(Vision) ya Taifa 2050, ni muhimu saana kuangalia mabadiliko na ukuaji wa teknolojia kwa kuangalia muda (Time factor) Dira...
1 Reactions
2 Replies
932 Views
Hapo chini anaonekana mkuu wa wilaya akimlazimisha mama muuza mchicha kununua kitambulisho kwa sh 20000 wakati huo mchicha wenyewe hata mafungu ishirini hayafiki. Huku ndiyo kuwatetea wanyonge
38 Reactions
333 Replies
28K Views
Kilio kikubwa cha Vyama vya Upinzani ilikuwa ni kufungiwa Mikutano ya hadhara na hivyo kushindwa Kuongea na Wananchi kuhusu hali zao za Maisha. Sasa Mfumuko wa Bei uko Juu na Mikutano...
3 Reactions
2 Replies
546 Views
Wanabodi, Hii ni mada kuhusu baadhi ya maamuzi ya rais wetu, Mhe. Dr. John Pombe Joseph Mugufuli anayoyafanya sasa huku watu wanashangilia sana kila kinachofanywa na Rais wetu, wakiamini na...
33 Reactions
189 Replies
35K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…