Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kufanya siasa hapa nchini hakujawahi kupungikiwa vitimbwi. Haki, usawa na ustaarabu vimemilikishwa chama tawala. Mamlaka ikajikita kuhakikisha wengine hawafurukuti. Yote haya yakifanikishwa...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Hamkujua kile kipo katika kitabu, hamkujua kesho yetu mkaona binadamu ndio tatizo na sasa hayupo basi tumtweze kisha tumdhihaki. Tuite makongamano, tuite watu wakutusemea dhiaka zetu wakati yote...
10 Reactions
18 Replies
2K Views
SHUJAA wa vita vya kagera ..maj general mwita chacha marwa amefariki dunia akiwa kwenye matibabu ...huko south afrika...kamanda huyu shupavu ndiye aliyekuwa wa kwanza kuingiza majeshi yetu...
9 Reactions
305 Replies
76K Views
Heshima kwenu wakurungwa. Katika kipindi cha miaka 8 iliyopita katika nchi yetu pendwa ya Tanzania kwa maana ya awamu ya 5 na ya 6 tumeshuhudia viongozi mbalimbali wakiteuliwa na mamalaka, hasa...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Mbunge wa Jimbo la Kilolo, Mhe. Justin Lazaro Nyamoga alifanya ziara katika jimbo lake Wilaya ya Kilolo kwa Kata za Masisiwe, Kijiji cha Masege Kata ya Ng’uruhe, na Kata ya Nyalumbu ambapo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama hawa Wakuu wa Wilaya ndio walikuwa Wanaoa hadi kujukuu Katika Wilaya Hiyo Hiyo Sijajua siku hizi ni katiba imebadilika au ni upungufu wa Maadili kwa Wateuliwa maana Teuzi hazikauki...
2 Reactions
8 Replies
688 Views
Ikumbukwe katiba iliyopo iliasisiwa kwa lengo la kuufanya utawala wa CCM kuendelea kudumu. Kidumu Chama cha Mapinduzi. Rais gani wa CCM ataafiki uwezekano wa mabadiliko ya katiba ndani ya awamu...
11 Reactions
54 Replies
3K Views
Anonymous
Kijiji chetu Kinaitwa Kijiji Cha kisangiro kata ya kirangi tarafa ya sale Wilaya ya Ngoro Ngoro. Kijiji chetu upande wa mashariki kinapakana na Kijiji Cha jema, kusini kinapakana na Kijiji Cha...
4 Reactions
20 Replies
4K Views
Lengo ni kuwaaminisha ngozi nyeupe kuwa tuna demokrasia ya ushindani ya vyama vya siasa ili tupewe ma misaada ya hapa na pale maisha yasonge. Kimsingi, wale wote wanaopata shuruba kwenye siasa...
1 Reactions
4 Replies
830 Views
Msingi wa vyama vyote siasa Duniani umezaliwa ubavuni mwa vyama vya wafanyakazi. Kwa sababu kundi la vyama vya wafanyakazi wote wanakua wamesoma na werevu, ndio kundi la kwanza kuona ukandamizaji...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Natamani kujua kwa undani nini hasa kinawndelea juu ya katiba mpya maana kila kukicha tuko pale pale tunab8shana tu kwa kua tunajuana sana. Mimi nadhani katiba mpya itakua chachu pale tu chama...
0 Reactions
2 Replies
451 Views
Nawauliza Wahenga wenzangu tuliokuwa wapenzi wa Gazeti la Sani na kile kitabu pendwa cha Kipigo Cha Dunia Kwa huo mtiririko hamuoni yule Mgombea anayependelea kuvaa kofia ya Prof Ndumilakuwili...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Huyu mama amakuwa katika Cabinet muda sasa. Lakini wizara ambazo ameziongoza ni zile ambazo haziko mainstream, yaani hazitajwi siku hadi siku. Lakini nilipoona uteuzi wa ma DC unakataliwa na...
6 Reactions
58 Replies
6K Views
Mbunge wa Jimbo la Manonga Wilaya ya Igunga, Mhe. Seif Khamis Gulamali ameainisha miradi ya Elimu na Afya ambayo imefanyika jimboni kwake huku akimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
0 Reactions
2 Replies
973 Views
Kuna watu wanafoka kuhusu mambo yasiyopendeza, mambo yasiyo ya kimaadili, mambo ya dhambi. Na kwao fikra zao ni kuwa kukiwa na adhabu kali mambo hayo yataisha. Niwaulizeni, Kuna nchi yoyote...
3 Reactions
6 Replies
594 Views
Kila mahala watu wanalizwa lakini hili la kulizwa kibabe na mtu kukunja mkwanja iliwaumiza sana wanaChadema
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi na waumini waliohudhuria mashindano ya kitaifa ya kuhifadhi Quran tukufu yaliyoandaliwa na taasisi ya Aisha Sururu Foundation (ASF) jijini Dar...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Ndio, ni ukweli uliowazi kabisa kuwa asilimia kubwa ya wa TZ ni wajinga. Nyie ni watu musio na shukran, wakati wenzenu wanapambana kuwatete mpk kufikia kuumizwa vibaya na kutaka kuuawa, wengine...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Ndugu zangu watanzania, Hii ni rekodi mpya. Ni historia ya kipekee aliyojiwekea Rais Samia na serikali yake mitaani, haijawahi kutokea kiongozi wa kisiasa kuteka mijadala mitaani kupita hata...
2 Reactions
55 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…