Hawa HESLB wana tabia ya kuzidisha makato ya marejesho ya mkopo bidi unapomaliza marejesho ya mkopo kwa kuendelea kukata mishahara yetu kila mwezi, hata kwa zaidi ya miezi 3 hadi 6 inategemea ya...
Bunge letu lipo ICU, wamepoteana; spika Hana taarifa kamati zilikwenda kukagua nini ila aliwawezesha. It sounds like fedha za matembezi zilitoka.
Wabunge wameacha kusimamia serikali wanatetea...
Peopleeees Powerrrrrrr...
Ipo hivi baada ya ole sabaya kuwa huru, nimeona wanachadema wengi sana wakiinamisha vichwa chini kuashiria kuwa kuna kitu kizito kimetua vichwani mwao baada ya ole...
Habari zenu wana JF wenzangu.
Ndugu zangu, najua hapa JF tuna vijana wengi ambao walianza kufuatilia na kujiunga na mambo ya kisiasa miaka ya 2010, 2015, 2020 hadi leo 2023.
Vijana hao ambao...
Kama bandiko linavyojieleza, leo hii kwakuwa Mahakama imemuachia huru Sabaya
Bila shaka sasa ni muda muafaka wa kufanya maamuzi ya kurudi kwenye jukwaa la siasa yeye Sabaya na Makonda
Na hili...
Wanabodi
Hapa mimi ni mjumbe tuu na mjumbe hauwawi, hizi ni Salaam bona-fide na genuine za mahabusu kwa rais Magufuli.
Baada ya tangazo la Rais Magufuli la msamaha kwa watuhumiwa wa ufisadi la...
Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya ameongoza Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya, Mamlaka ya Mapato Mkoa wa Kilimanjaro pamoja na Maafisa kutoka Halmashauri kufanya operesheni maalum...
Kama ambavyo Rais Magufuli amekuwa akijigamba kuwa anapambana na mafisadi wakwepa kodi na wahujumu Uchumi pamoja na mabeberu kwa kupitia kauli yake ya vita ya kiuchumi.
Huyu Mwanyika ndo Rais...
Tunakumbushana tu kwa sababu Bavicha ni Wasahaulifu sana
Haijulikani ni kwanini Kibatala alimpanga Ole Sabaya kwenye orodha ya mashahidi wa Mbowe kwenye Kesi ya Ugaidi ila cha muhimu Ole Sabaya...
Wana janvi sina mengi ,najua mpo vizuri tu, na neema ya Bwana ipo juu yenu
Husika na mada tajwa hapo juu,
Yupo ndugu Lema ambaye kwa wakati flani alikua mbunge Arusha mjini na sio mda mrefu...
Katika hotuba ya Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa kuhusu mapitio ya serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za ofisi ya waziri mkuu na ofisi ya bunge kwa mwaka 2023/2024 amesema...
Mara baada ya kuibuka maneno mengi mitaani kuwa Chama cha Waganga wa Tiba Asilia na Tiba Mbadala Mkoa wa Simiyu kina makada wengi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mwenyekiti wa umoja huo, Mayunga...
Nazungumza na Wana wa CDM, ACT, NCCR, CUF nk pamoja na kwamba mmesajili vyama vyenu ili kuja kukiangusha chama tawala cha CCM lkn uhalisia unaonesha mmeathiliwa sana mifumo ya kikoloni na utumwa...
Ndugu Humphrey Polepole,
Tarehe 28/11/2020 Ndugu Hamphrey Polepole aliteuliwa na Hayati Rais Magufuli kuwa Mbunge, hapo awali alikua ni Katibu Mwenezi wa CCM Taifa.
Baada ya kifo cha Rais...
Rais sijui ana nongwa gani na kijana Sabaya. Kazi aliyofanya Sabaya kwa CCM halafu anakomolewa na Serikali ya CCM ni jambo la kushangaza. Anachokitafuta Rais Samia ndani ya CCM ni kukiangamiza...
Kila nikikumbuka utendaji kazi wa dc Ole Sabaya ninasikitika sana kwa haya anayoyapitia.
Mtoto akinyea mkono tusiukate, tunaweza kumsaidia huyu kijana wetu, tujifunze namna wanachama wa chadema...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavYo:-
1. Amemteua Bw. Andrew Wilson Massawe kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya...