Ole Sendeka amtetea bungeni Rais kutohusika na Ufisadi uliotajwa na CAG

juma30

Senior Member
Jun 25, 2022
149
421
  1. Mbunge wa Simanjiro,. Ole Sendeka leo bungeni amemtetea RAIS Samia Suluhu Hassan kuwa hahusiki na ufisadi wa ripoti ya CAG akipiga kauli ya Waziri Mwigulu aliyejaribu kumhusisha rais na wizi huo kwamba etii Rais ndio anaidhinisha fedha kutoka.
 
.
JamiiForums-1066041085.jpg

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Amerikorohga mnyiramba madilu wakati wowote kuazia sasa jipu linatumbuliwa naona madilu anajutia kwa nini nilisema ile kauli fedha zote zinaidhisha na rais usiku hapati usingizi presha juuu
 
  1. Mbunge wa Simanjiro,. Ole Sendeka leo bungeni amemtetea RAIS Samia Suluhu Hassan kuwa hahusiki na ufisadi wa ripoti ya CAG akipiga kauli ya Waziri Mwigulu aliyejaribu kumhusisha rais na wizi huo kwamba etii Rais ndio anaidhinisha fedha kutoka.
Ole Sendeka ni mlamba asali,
Sasa mlitegemea afanye nini.
 
  1. Mbunge wa Simanjiro,. Ole Sendeka leo bungeni amemtetea RAIS Samia Suluhu Hassan kuwa hahusiki na ufisadi wa ripoti ya CAG akipiga kauli ya Waziri Mwigulu aliyejaribu kumhusisha rais na wizi huo kwamba etii Rais ndio anaidhinisha fedha kutoka.
Huyo yuko hivyo katika maslahi yake hutetea bila kujali athari zake; jifunzeni namna alivyo pindua meza baada ya kubananishwa na Riz huko Kiteto kuhusu ardhi alishitaki kwa baba yake ambaye ni rafiki wa huyu mwamba wa CCM maslahi mpaka mtoto kisiki kilichoshika rimoti kikakubali ahamishwe wizara. Nchi hii imeshikiliwa maamuzi yake na watu wa ajabu sana
 
hiyo ndiyo political survival strategy yake. tangu ameingia katika siasa, kwa kuwa elimu yake ni ndogo uwaziri hawezi kupewa survival yake huwa ni kuwa chawa wa utetezi tu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom