Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,231
- 12,973
Wakili wa Sabaya, Mh Mahuna amesema Sabaya alikiri kosa la uhujumu uchumi na hivo kwa mujibu wa makubaliano ya Plea Bargaining Sabaya anapaswa kumlipa Alex Swai kwa niaba ya mdogo wake Tsh 5,000,000/=.
Mara baada ya hayo kesi ilienda kufail tena kwa makosa mawili ambayo ni "Kujitwawalia madalaka" pamoja na "Kuzuia utendaji wa haki" na ni makosa haya mawili alikiri na mahakama ikatoa hukumu ya kumuachia kutokana na mahakama kutokuwa na record yoyote kama Sabaya aliwahi kuhukumiwa kokote na kumpa muda wa uangalizi wa mwaka mmoja asitende kosa lolote (conditional discharge). Kimsingi mpaka sasa mahakama ya Tanzania haijasajili record yoyote kama imewahi kumtia hatiani Sabaya na kumpa kifungo chochote.