Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hivi karibuni, mwelekeo wa hotuba na matamko ya viongozi wengi wa umma nchini umeshuhudia mabadiliko makubwa yanayozua maswali mengi kuliko majibu. Kauli kama zile za Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
16 Reactions
17 Replies
482 Views
π—ͺπ—”π—­π—œπ—₯π—œ π—žπ—’π— π—•π—’ π—”π—žπ—¨π—§π—”π—‘π—” 𝗑𝗔 π— π—šπ—’π— π—•π—˜π—” π—ͺ𝗔 𝗀𝗔𝗧𝗔π—₯ π—žπ—”π—§π—œπ—žπ—” π—‘π—”π—™π—”π—¦π—œ 𝗬𝗔 π— π—žπ—¨π—₯π—¨π—šπ—˜π—‘π—­π—œ π— π—žπ—¨π—¨ π—ͺ𝗔 π—ͺ𝗛𝗒 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.)amekutana na...
1 Reactions
1 Replies
67 Views
Tanzania na Shirikisho la Urusi zimekubaliana kuimarisha ushirikiano kidigitali katika sekta za Uchumi na maendeleo ili kukuza maendeleo endelevu kwa manufaa ya wanandchi wa pande zote...
2 Reactions
1 Replies
40 Views
Kwanza nimejua kwamba makesi makubwa makubwa waliowahi kupewa kuanzia kina Slaa, Mbowe na sasa Lissu ni matokeo ya uongozi wa sasa tulio nao ambao ni uongozi wa hovyo. Uongozi ulioshusha kwa...
29 Reactions
28 Replies
889 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amesema kuwa iwapo Serikali haitakuwa tayari kuheshimu demokrasia, chama hicho kitachukua hatua za kuishinikiza Serikali. Heche ameyasema hayo leo...
13 Reactions
49 Replies
619 Views
Isa 59:14-15 Na hukumu imegeuka ikaenda nyuma, na haki inasimama mbali sana; maana kweli imeanguka katika njia kuu, na unyofu hauwezi kuingia. Naam, kweli imepunguka kabisa, na yeye auachaye uovu...
1 Reactions
1 Replies
46 Views
Salam Wakuu, Huyu jamaa ana mpaka rekodi ya kufungwa kutokana na utapeli! Huwa anapewa tenda ya vifaa vya uchaguzi na huko ndio anapata na mwanya wa kutoa michoro ya kuharibu uchaguzi kwa kuhonga...
12 Reactions
252 Replies
28K Views
Je, ni kwasababu wapinzani waliopo sasa wameshindwa kabisa kujikomboa wao wenyewe kiuchumi na hivyo automatically wamekosa ushawishi na kuaminika kisiasa kwa wananchi? Nini kifanyike walau wawepo...
1 Reactions
37 Replies
196 Views
Kwa taarifa nilizokagua asubuhi ya leo, 1 Oktoba 2026, sijaona taarifa rasmi au ya kuaminika inayothibitisha kwamba Rais Samia Suluhu Hassan tayari ametuma salamu za pole kufuatia kifo cha...
3 Reactions
7 Replies
242 Views
Wakuu wa Vyombo,nimeuliza tu! Mkija kunijibu, muwe mnanukuu baadhi ya vifungu vya Quran Takatifu,ili kutupa uelewa zaidi. Karibuni
2 Reactions
11 Replies
169 Views
Kwa niaba ya waTanzania wote wazalendo na mamilioni ya raia wema wa nchi hii, I warn all individual politicians, groups of political bandits, puppets within political parties, clueless and...
4 Reactions
30 Replies
209 Views
Mwanadada wa mapingili shingoni Out Jeni wa kuhusu utaratibu wa muhaga maaaa Out Ndumba Aroooo out Wa ma mineral out February mauzi out Kwanini mtoto wa millet sioni jina Tusubiri Britanicca
19 Reactions
82 Replies
10K Views
baada ya baba yao wa kambo kufariki je tutegemee machawa kuendelea kuomboleza? naomba jibu jamani.
10 Reactions
42 Replies
671 Views
Ni takribani mwezi mmoja tu tangu bwana Dangote alipotangaza kuwekeza mradi wake mkubwa wa takribani $16 bilioni nchini Kenya. Hayo yalijitokeza baada ya maneno ya rais wa Kenya kwamba...
1 Reactions
19 Replies
463 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema hadi sasa hajapokea malalamiko kutoka kwa madereva kuhusu kukatwa point kwenye leseni zao, na kuongeza kuwa endapo kuna dereva amekatwa...
1 Reactions
11 Replies
379 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema kuwa kasi ya ujenzi wa reli nchini imekuwa ndogo akilinganisha na kipindi cha utawala wa Wajerumani. Heche...
7 Reactions
8 Replies
235 Views
Kwanza nijipe pongezi Mimi mwenyewe kwa kufanikisha kumaliza salama kifungo changu(ban) hapa JF. Napenda kusema haya ili kuondoa Mkanganyiko na maswali yasiokuwa na ulazima, Mimi Mtela Mwampamba...
5 Reactions
348 Replies
30K Views
Rutto kapeleka $17B kenya je Mama Samia kaleta uwekezaji gani unao onekana? Tofauti ya Raisi wa nchi ya demokrasia na Raisi wa kuiba kura.
3 Reactions
8 Replies
145 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…