Hii kesi hii sijui kama anaweza chomoka!?

Hii kesi hii sijui kama anaweza chomoka!?

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
22,763
Reaction score
27,499
*Maneno yake kabla ya lolote kutokea,
*maneno yenye nia na dhamira ovu,

-Tutakinukisha
-Uchaguzi tutauvuruga
-Uchaguzi hautafanyika.
-Tunajua tutauzuiaje!

*
1000010149.jpg
Outcomes yake!

-Uchaguzi ulikuwa na ghasia
-Tafrani kubwa ikatokea
-Mali za umma zikachomwa moto!
 
*Maneno yake kabla ya lolote kutokea,
*maneno yenye nia na dhamira ovu,
-Tutakinukisha
-Uchaguzi tutauvuruga
-Uchaguzi hautafanyika.
-Tunajua tutauzuiaje!

*View attachment 3647782Outcomes yake!

-Uchaguzi ulikuwa na ghasia
-Tafrani kubwa ikatokea
-Mali za umma zikachomwa moto!
Wassira amesema ITV- Live-Dakika-45- Shahidi Madam Farhida..kwamba hapakuwa na vurugu,ni kiduchu tu tena Usiku wa Manane na kura zilishapigwa tayari, zikiendelea kuhesabiwa...!
Alipiga Kura Bunda akaja kula Bata Mwanza. !! Na huyo ndiyo CCM asili sasa. !!?
Who are you?!! Wewe You!!!
 
*Maneno yake kabla ya lolote kutokea,
*maneno yenye nia na dhamira ovu,
-Tutakinukisha
-Uchaguzi tutauvuruga
-Uchaguzi hautafanyika.
-Tunajua tutauzuiaje!

*View attachment 3647782Outcomes yake!

-Uchaguzi ulikuwa na ghasia
-Tafrani kubwa ikatokea
-Mali za umma zikachomwa moto!
Jizi na lipenda rushwa nalo linatoa comments
 
*Maneno yake kabla ya lolote kutokea,
*maneno yenye nia na dhamira ovu,
-Tutakinukisha
-Uchaguzi tutauvuruga
-Uchaguzi hautafanyika.
-Tunajua tutauzuiaje!

*View attachment 3647782Outcomes yake!

-Uchaguzi ulikuwa na ghasia
-Tafrani kubwa ikatokea
-Mali za umma zikachomwa moto!
*Maneno yake kabla ya lolote kutokea,
*maneno yenye nia na dhamira ovu,
-Tutakinukisha
-Uchaguzi tutauvuruga
-Uchaguzi hautafanyika.
-Tunajua tutauzuiaje!

*View attachment 3647782Outcomes yake!

-Uchaguzi ulikuwa na ghasia
-Tafrani kubwa ikatokea
-Mali za umma zikachomwa moto!

View: https://www.facebook.com/share/v/1D3agt1WP3/
 
Mbona nasikia hawa chadema hawakushiriki uchaguzi? Sasa swali hawa chadema walipata wapi silaha na kuua raia?
*Maneno yake kabla ya lolote kutokea,
*maneno yenye nia na dhamira ovu,
-Tutakinukisha
-Uchaguzi tutauvuruga
-Uchaguzi hautafanyika.
-Tunajua tutauzuiaje!

*View attachment 3647782Outcomes yake!

-Uchaguzi ulikuwa na ghasia
-Tafrani kubwa ikatokea
-Mali za umma zikachomwa moto!
 
*Maneno yake kabla ya lolote kutokea,
*maneno yenye nia na dhamira ovu,
-Tutakinukisha
-Uchaguzi tutauvuruga
-Uchaguzi hautafanyika.
-Tunajua tutauzuiaje!

*View attachment 3647782Outcomes yake!

-Uchaguzi ulikuwa na ghasia
-Tafrani kubwa ikatokea
-Mali za umma zikachomwa moto!
Nje ya video iliyokataliwa na mahakama, hayo maneno hayana maana yoyote kwenye hii kesi. Hata kama video isingekuwa suppressed, hayo maneno hayatoshi kuthibitisha kosa la uhaini.
 
Nje ya video iliyokataliwa na mahakama, hayo maneno hayana maana yoyote kwenye hii kesi. Hata kama video isingekuwa suppressed, hayo maneno hayatoshi kuthibitisha kosa la uhaini.
Hii ngoma imefikia patamu, leo lissu alikuwa anatia huruma, mpaka alitamani amzibe mdomo shahidi wa mashtaka
 
Back
Top Bottom