Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Huyu jamaa yangu natamani arudishwe kazini. Naona yeye bado wenzie wawili tayari. Serikali iwakumbuke hawa wenye vyeti fake wapewe ajira kwanza kuliko wale fresh from schools. Hawa wenye vyeti...
1 Reactions
11 Replies
929 Views
Bado maswali ni mengi na majawabu hakuna. Nani aliye amuru kuwekewa sumu mzee wetu Mangula na Tundu Lissu kupigwa risasi? Najiuliza hiyo sumu ina maana walikuwa wanatembea nayo ktk mabegi yao...
0 Reactions
0 Replies
262 Views
Hawawezi kukwepa kuwa sakata la Kariakoo lisinge fika hapo lilipo kama wange wajibika. Kulipo undwa Kikosi kazi (Task force) cha TRA kufuatilia kodi Kariakoo ndipo mianya ya rushwa ikapamba moto...
0 Reactions
0 Replies
562 Views
Inashangaza sana, hii nchi inawezekana hata sehemu zile nyeti kutakuwa na kundi kubwa la vilaza thus why mambo yanaendelea kuharibika kila uchwao , Nimesikia mara nyingi Bwana Membe akiitwa...
13 Reactions
72 Replies
6K Views
Zanzibar is a tourist destination, however the level of noise is intolerable. Nimelala hapo Maisara kesho yake nikafungisha virago. Makelele ya miziki toka hizo kumbi za CheCheMe Maisara...
0 Reactions
5 Replies
587 Views
Huu mzozo wa Kodi Kariakoo ni sehemu ndogo Sana ya matatizo ya Kodi nchini. Matokeo yake kuna wasiolipa Kodi wakiamini ni ujanja. Kuna wanaolipa Kodi zaidi ya kiwango wakikosa elimu husika. Kuna...
16 Reactions
56 Replies
3K Views
Habari za Wakati huu, Kwanza niseme tu kwamba andiko hili limekuwa inspired na Mgomo wa Wafanyabiashara wa Kariako pamoja masuala mengine ambayo yamejitokeza hapa nchini katika kipindi cha...
1 Reactions
3 Replies
831 Views
Great thinkers kama tunavyofahamu tukio la msiba mkubwa wa taifa wa Mh. Membe bado kama taifa tunaomboleza. Ninashauri Rais Dkt Samia akitaka mambo yake ya 2025 yaende amteue Mh. Balozi Polepole...
1 Reactions
12 Replies
820 Views
Mpaka sasa najaribu kutafuta makosa ya Hayati JPM nikiri kusema sijaona makosa yoyote labda pengine macho yangu yameamua kuangalia yanayopendezwa nayo au kwa sababu nyingine yoyote ila sijaona...
23 Reactions
68 Replies
4K Views
Nimemsikiliza waziri wa elimu akisisitiza kwamba sera mpya inatimiza matakwa ya rais. Sasa hapo ndo mwanzo wa ujinga wetu. Rais siyo mtaalamu wa elimu. Sera siyo ya rais, kwa nini sera mpya iwe...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
NAWASALIMU KWA JINA LA JAMAHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,HEKIMA NI UHURU! Awali ya yote nipende kumshukuru mwenyezi Mungu,kwa kutujalia uhai,amani na utulivu katika Taifa letu,Tanzania...
1 Reactions
2 Replies
693 Views
Juzi nilienda TRA kulipia basi langu kodi nikakuta rate za kodi zipo based kwenye namba ya abiria. Kwa kweli niliwapongeza sana TRA kwa sababu miaka ya nyuma hata mabasi yalikua yanakadiriwa...
2 Reactions
8 Replies
889 Views
Ni dhahiri JPM alikua Shuja wa kanda ya ziwa. Ni dhahiri katika utawala wake kanda ya ziwa mlifaidi, wapo ambao mlipitisha mafuta bila kulipa kodi, mkanunua magari na kupiga ela. Mpo mliotumia...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Nyuzi zinaanzishwa za kumsingizia Membe mambo ya uongo kabisa. Yaani mtu anasema Membe alikuwa na ushawishi? Why mumsingizie marehemu uongo? Kama ana mabaya yake naye ni binadamu hakuna mkamilifu...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Please answer my question !
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Ni miaka miwili sasa tangu Magufuli afariki dunia, huku baadhi ya wafuasi halisi wa Magufuli wakigoma kuamini katika mioyo yao au kutambua katika akili zao kuwa, kwa hakika Magufuli alishakufa na...
28 Reactions
136 Replies
7K Views
Hakuna Hasara Katika Mradi wa SGR "Bei zilizopo ni tofuti sana na bei zilizotumika Mwaka 2017 wakati tunaanza ujenzi wa Mradi wa SGR, zaidi ya asilimia 65 Mradi wa SGR unatumia chuma na Bei ya...
0 Reactions
6 Replies
732 Views
Rais Samia: Huko zamani hakukuwa na nidhamu ya ukweli lilikuwepo simba wa Yuda ukisema anakukwaruza na makucha yake January Makamba: Magufuli alikuwa ni fundi aliyeshona shati vibaya sisi sasa...
50 Reactions
167 Replies
11K Views
Membe hakupata kuhudhuria wala kumlilia Magufuli kwenye kifo chake jambo ambalo mke wa Magufuli naye hajafanya kuhusu kifo cha Membe. Ikumbukwe, wanazi wote wa upande wa Membe hawakuhudhuria ima...
21 Reactions
83 Replies
10K Views
Poleni na msiba ila kwangu mimi Membe kwa kazi aliyoifanya sina ninachomudai. Tumepoteza mtu mwadilifu Sana pengine moja ya vijana waliopikwa na Nyerere pia mtu wa kitengo ambaye alifanya kazi...
15 Reactions
86 Replies
8K Views
Back
Top Bottom