Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

MARIDHIANO NA MUSTAKBALI WA ZANZIBAR Na Seif Sharif Hamad UTANGULIZI Zanzibar inapita katika mojawapo ya vipindi muhimu sana vya historia yake ya kisiasa. Nuru mpya ya matumaini...
1 Reactions
345 Replies
42K Views
Ni hotel ya nyota tatu iliyopo kando ya bahari ya hindi maeneo ya Shangan East mkoani mtwara. Kwa muda wote toka ifunguliwe 2013 hotel hii iliendeshwa kwa uhuru bila kuingiliwa na utawala mpaka...
39 Reactions
134 Replies
18K Views
Nimeangalia hotuba ya Waziri wa mifugo na uvuvi wakati akihitimisha hoja ya bajeti ya Wizara yake...jamaa anajisifu kwamba kwa kutomshauri Waziri Mpina kipindi akiwa Boss wake ndiko kumempatia...
1 Reactions
6 Replies
815 Views
Panya Road, vibaka, na wauza madawa ya kulevya pamoja na wavuta shisha wa mkoa wa Dar es Salaam hawatapenda ujio wa mkuu wa mkoa mpya Albert Chalamila kwani hapendi ujinga na hatawavumilia kabisa...
9 Reactions
24 Replies
3K Views
MZEE Makamba tubu dhambi uliyowaambia watanzania kuwa watu wazuri hawafi nakushauri hii laana na hii dhambi itakutafuna milele na milele wewe na kizazi chacho, fuatilia maoni ya wengi kwenye...
17 Reactions
78 Replies
5K Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameamua kukutana na kuongea na Wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo leo ambapo tayari amefika Kariakoo muda huu badala ya Jumatano May 17,2023 ambayo ilitangazwa hapo...
7 Reactions
96 Replies
10K Views
Sarakasi zimeanza mapema sana na Huwezi amini ni kwa ajili ya miaka 7 ijayo Manake afadhali ya Ni Yeye TAL tunajua kwa hakika atajaribu bahati yake 2025 Mungu wa mbinguni tupunguzie Uroho kama...
1 Reactions
5 Replies
732 Views
Tukiwaambia nchi hii tumepitia kipindi kigumu sana muwe mnaelewa jamani! Maana kuna watu kabisa uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana. During that regime kila mwekezaji alikuwa anaogopa na wengine...
1 Reactions
6 Replies
978 Views
SERIKALI KUKAMILISHA BARABARA KWA KIWANGO CHA LAMI MPANDA, UVINZA NA INYONGA KATIKA MWAKA WA FEDHA 2023-2024 Naibu Waziri Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Atupele Mwakibete amejibu maswali Bungeni jijini...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimefika nyumbani kwa Mzee Membe, ni makazi yakawaida sana tofauti na vile tulivyodhani. Lakini pia hatua kubwa aliyofikia kisiasa tulitegemea watoto wake wawe wanasiasa lakini hakuna...
39 Reactions
88 Replies
13K Views
Ilala inapaswa kupata Mbunge aliyebobea kwenye mambo ya Biashara Sugu wa Chadema na Vunjabei wa CCM karibuni Ilala Wakinga ndio wameijenga Makambako na sasa ndio wanaiendesha Kariakoo...
4 Reactions
6 Replies
944 Views
Kumekiwa na hili wimbi la watu fulani kufurahia wale mahasimu wao wanapopatikana na matatizo na kuzionyesha hisia zao mitandaoni ; jambo hili sio geni kabisa , nna hakika wote tuna maadui zetu ama...
0 Reactions
3 Replies
504 Views
Ukisoma ibara ya 84 (1) ya katiba yetu inayotaja sifa za mtu kuwa mbunge na ibara ya 85 (1) ya katiba hiyo inayotaja sifa za mtu kuwa Naibu Spika, ni wazi katiba yetu ya Jamuhuri ya Muungano wa...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
MBUNGE SAASHISHA MAFUWE ASISITIZA MTAALA WA ELIMU UZINGATIE TALANTA YA MWANAFUNZI Mbunge wa Jimbo la Hai, Mhe. Saashisha Elinikyo Mafuwe akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Elimu iliyosomwa...
0 Reactions
1 Replies
662 Views
Akihojiwa leo na kituo cha redio kuhusu changamoto za upinzani amesema kwamba wapinzani nchini wana changamoto nyingi sana zinazowakosesha kuaminika kwa wananchi licha ya wananchi kuichoka ccm...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Usiku huu Vijana wa Kitanzania wenye "Soft skills" najua muda huu wapo bize wakipiga pasi suti zao, wakibrash viatu vyao kwa ajili ya siku ya kesho kwenda kwenye Misa ya kumuaga legendary Bernard...
3 Reactions
4 Replies
998 Views
Unaweza kuta January Makamba anashambuliwa sana analaumiwa sana, au unakuta Mwigulu Nchemba hadi anatukanwa mara hafai, mara imepanda ikashuka. Kule Kariakoo wanalaumu TRA, wanalaumu sijui...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Salaam, Habari toka nchini Afrika Kusini, zinasema, Katibu Mkuu wa Ikulu Mstaafu, Mzee Timothy Apiyo, amelazwa kwenye hospitali ya Milpark nchini Afrika Kusini. Mzee wetu huyu ambaye ni mjamaa...
1 Reactions
94 Replies
14K Views
Kariakoo ndio kitovu cha Biashara Afrika Mashariki hivyo ukikubalika Kariakoo wewe uko juu sana. Kuna tetesi Baadhi ya Mawaziri hawajafurahia Waziri mkuu Majaliwa kujizolea sifa lukuki Kariakoo...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Kuna kikundi kama kimepewa kazi ya kumhujumu waziri Makamba kila sehemu na hili bomba linaonekana kupasuliwa makusudi na mafuta ghafi kutililikia mashambani na kuzua taharuki. Hakuna mamalaka...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom