Kesho ikitokea familia moja wamemeza mashoka na kulazwa utaunda kamati.
Hatupingi kuundwa kamati ila tunataka majibu ya wazi kama ulivyotangaza kwa uwazi kuwa unaunda kamati kuchunguza jambo.
Tupe...
Mwantumu Dau Haji ambaye ametajwa kama Mbunge wa Viti Maalum , amependekeza bungeni kwamba , wale wote wanaobakwa wakishakamatwa wapewe pombe ya kupunguza nguvu za kiume ili wasibake tena .
Toa...
EXTRA STRAIGHT TALK:- Unaporusha rusha maneno ya kichochezi kuhusu kushambuliwa kwa Mh. Tundu Lissu bakisha maneno na tafuta Facts kwanza ....
Naomba nikukumbushe kwa FACTS:
Mauaji ya Waisilamu...
Mgomo wa Kariakoo umeibua mengi, lakini pamoja na kuonyesha madudu ya uncontrollable TRA na rushwa za nje nje zilizoishinda serikali kuzikabili, mgomo umeibua jambo serious la utendaji chini ya...
Nimeona kupitia Jambo TV Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Ziwa Victoria mh Wenje akidai Mabango yenye picha za Rais Samia yaliyoko barabarani yameigharimu Serikali tsh 300 Bilioni Fedha za Walipa...
Prof. Sospeter Muhongo - Kila Shule ya Msingi/Sekondari Iwe na Maktaba/Maabara
Prof. Sospeter Muhongo Akiishauri Wizara ya Elimu, Sayansi & Teknolojia
Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof...
Ni Ushauri tu
Kama itawapendeza Igeni utaratibu wa Shujaa Magufuli wa kuzindua miradi mara mbili Ili kuwakumbusha waliosahau
Jana kiukweli hakuna aliyefuatilia Operation +255 kwani Mjadala wa...
Bandari ya Dar es salaam, Soko la Kariakoo Mpaka wa Tunduma ungeweza kutengeza almost robo tatu ya mapato ya Serikali kama tungekuwa na revenue strategist ndani ya Mawizara yetu tajwa hapo juu...
Watu wengi wana dhana potofu kuwa wafanyabiashara ni vilaza, wahuni, watu wasiojitambua, hawajui sheria wala kujieleza. Kinyume na dhana hii potofu wafanyabiashara mmeonesha weledi mkubwa...
Siyo kawaida kukuta TBC, ITV, Channel ten, Star tv, Azam, Eatv, Upendo tv zinarusha mubashara tukio Moja
Ni Clouds tv pekee ndio hawakujishughulisha
Hakika Wafanyabiashara ni Jeshi kubwa!
ESTHER MALLEKO AMECHANGIA HOTUBA YA BAJETI WIZARA YA ELIMU 2023-2024
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Edwin Malleko leo tarehe 16 Mei, 2023 Bungeni jijini Dodoma amechangia...
TAKUKURU ingieni kazini ili mjue sababu zilizosababisha taarifa kubwa ya Mkulima kuwashtaki wabadhirifu wa mali za umma waliotajwa kwenye ripoti ya CAG ya mwaka 2021/2022 kutoripotiwa na vyombo...
Tuache siasa kwenye mambo yaliyotungiwa sheria na bunge na ambayo mtu binafsi kama waziri mkuu hawezi kuyatengua kwa maneno ya jukwaani bila barua au muongozo
Matamko ya waziri mkuu kassim...
Nchi hii Ina Mabaraza ya biashara, kuanzia ngazi ya wilaya,mpaka taifa, kwa kuwa tumeamua kwamba kariakoo ndio Dubai yetu, namshauri Mh. Rais kwamba atoe hadhi maalum kwa kariakoo iwe na hadhi ya...
Ukweli utafichwa lakini mwisho wa siku utakua wazi, Kuna sehemu kubwa chadema imewakosea wananchi. Kinachoendelea Kigoma ni aibu kubwa, watu wamesusa kuhudhuria mkutano
Nimefuatilia kikao kile, nimesikiliza hoja za wale wafanyabiashara, nikaona masikitiko yao. Lakini wakati wa kuagana na baada ya PM kuwa ameondoka jukwaa likavamiwa na wafanyabiashara waliojaa...
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amesema hali ya mfumuko wa bei wa Tanzania ni nafuu ukilinganisha na nchi nyingine Duniani ambazo bei za bidhaa mbalimbali hupanda kila baada...
Cdm tunatumia uhuru wa kisiasa kufanya mikutano ya kisiasa nchini kote ili kujiimarisha kisiasa kwa kuongea na watanzania wa sehemu husika.
Jana tulikuwa kigoma kwenye muendelezo huo huo,kigoma...