Kauli za Wiki: Niliumia sana Membe kuhamia ACT by JK. Mzee Malecela aliniambia Nijiuzulu Uspika Nikajiuzulu by Ndugai!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,134
Kwangu mimi kauli Hizi za Viongozi wakongwe zimebeba ujumbe mzito sana

Kikwete anasema aliumia sana Membe alipohamia ACT Wazalendo

Ndugai anasema mzee Malecela alikuja nyumbani kwake usiku na kumwambia ajiuzulu Uspika naye akatii

Kuna mengi ya kujifunza kupitia kauli Hizi

Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
 
Mengi yepi ya kujifunza, wewe umejifunza nini? Ili tukuelewe "point" yako bi nini ? Upo "so vague" namaanisha, unajidanganya na unatudanganyakuwa umeandika ya maana kumbe hayana maana yoyote.

Huko ni kutaka kujazana ujinga uliokujaa,audha eleza vizuri ulichojifunza kwa hayo uliyoyanukuu au ondokana na huo ujinga.

Kumbuka, kujifunza huwa ni "subjective" ni aidha kitu chanya au hasi, sasa tuanze na wewe, utueleze ukichojifunza ili tuelewe umejifunza nini?
 
Mengi yepu ya kujifunza, wewe umejifunza nini? Ili tukuelewe "point" yako bi nini ? Upo "so vague" namaanisha, unajidanganya na unatudanganyakuwa umeandika ya maana kumbe hayana maana yoyote.

Huko ni kutaka kujazana ujinga uliokujaa,audha eleza vizuri ulichojifunza kwa hayo uliyoyanukuu au ondokana na huo ujinga.

Kumbuka, kujifunza huwa ni "subjective" ni aidha kitu chanya au hasi, sasa tuanze na wewe, utueleze ukichojifunza ili tuelewe umejifunza nini?
Huyu Pimbi uji wa chumvi umevuruga akili yake.
 
Kwangu mimi kauli Hizi za Viongozi wakongwe zimebeba ujumbe mzito sana

Kikwete anasema aliumia sana Membe alipohamia ACT Wazalendo

Ndugai anasema mzee Malecela alikuja nyumbani kwake usiku na kumwambia ajiuzulu Uspika naye akatii

Kuna mengi ya kujifunza kupitia kauli Hizi

Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
Hakuna cha kujfunza, mambo ya kawaida sana, upuuzi tu. Kwani kuhamia ACT ni kumkufuru Mungu? Kwani CCM ni mama yake? Kwani CCM ni oxygen?
 
Mengi yepi ya kujifunza, wewe umejifunza nini? Ili tukuelewe "point" yako bi nini ? Upo "so vague" namaanisha, unajidanganya na unatudanganyakuwa umeandika ya maana kumbe hayana maana yoyote.

Huko ni kutaka kujazana ujinga uliokujaa,audha eleza vizuri ulichojifunza kwa hayo uliyoyanukuu au ondokana na huo ujinga.

Kumbuka, kujifunza huwa ni "subjective" ni aidha kitu chanya au hasi, sasa tuanze na wewe, utueleze ukichojifunza ili tuelewe umejifunza nini?
Umempiga na kitu kizito,anashauriana na jopo lake wanaoshirikiana kuendesha hii ID jinsi ya kukujibu.
 
Hakuna cha kujfunza, mambo ya kawaida sana, upuuzi tu. Kwani kuhamia ACT ni kumkufuru Mungu? Kwani CCM ni mama yake? Kwani CCM ni oxygen?
aliumia sana Membe kuhamia ACT maana yake aliumia Membe kufukuzwa Chamani

Mzee Malecela alitumwa na nani kwenda kunshinikiza Ndugai kujiuzulu ? …ai ndio ile 80% ya mshahara wa PM lazima autumikie hadi mwisho wake?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom