William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,391
Wacha kulia lia. Kwani wanaohoji si polisi?Angeagiza Polisi
Hivi unajua maana ya ulichokileta?- Wapi hapo juu inasema hivyo Mkuu?
le Mutuz
mleta maada anashindwa ata kutafsiri alichokileta, sijui anaona kifungu kinassupport anachokifanya Mkuu wake
sasa arrest na summon ipi afadhali,Mbowe amekataa summon,anapata arrestHe may cause arrest na siyo summon
Unatia huruma sana.- Makosa yapo wapi?
le Mutuz
Ngoja nikufundishe kitu bwana lemutuzzz. Hicho kifungu kinahusika kwa waliovunja sheria zilizowekwa kwa mujibu wa katiba na kwa vyovyote vile pawepo na ushahidi wa wazi. Sasa wewe kuamka asubuhi na kusema "Bonge wa Kinondoni kesho uende polisi kwa kuhisiwa kujihusisha na madawa" vinaendana na ulicholeta hapo juu?