Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Akichangia hoja Bungeni leo Mei 12, 2026, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma, Jesca Mbogo, ameiomba serikali kuwapa kipaumbele vijana ambao wamekuwa wakijitolea kwa muda mrefu kwenye sekta ya...
0 Reactions
0 Replies
90 Views
Hivi karibuni mwanzoni mwa mwezi ujao nitazindua kampuni yangu Mpya ya Uchwara Media Group...tutaanza na Online Digital Tv na Radio. Uchwara Media Group itakuwa ni platform kwa watangazaji wote...
3 Reactions
14 Replies
312 Views
Bima ya Afya kwa Wote kugharimu shilingi 150,000 kwa kaya (watu sita). Wasio na uwezo (wazee, watoto, wajawazito na wenye ulemavu) watagharamiwa na serikali.
2 Reactions
5 Replies
147 Views
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amesema hayo Mei 11, 2026, wakati akiwasilisha uchambuzi wa chama hicho kufuatia ripoti ya Tume ya Uchunguzi ya Matukio ya...
1 Reactions
11 Replies
281 Views
Kukamilika kwa maboresho ya Uwanja wa Ndege wa Musoma kunatajwa kuwa hatua muhimu itakayochochea ukuaji wa sekta ya utalii, biashara na uchumi kwa ujumla katika ukanda wa Ziwa Victoria na mikoa...
0 Reactions
1 Replies
148 Views
  • Closed
Ufuatiliaji wa JamiiCheck JamiiCheck imefuatilia na kujiridhisha kuwa picha hii si halisi bali imehaririwa kwa Akili Unde. Zaidi soma: POTOSHI Je, picha hii ya mfungwa aliyevaa hereni kutoka...
8 Reactions
28 Replies
799 Views
Wanabodi, Leo siku ya Machi 17 ndio siku Taifa tulipotangaziwa kifo cha Shujaa wetu JPM, hivyo katika kumkumbuka, na kumuenzi, mnaonaje tukijikumbusha baadhi ya mabandiko ambayo tulimshauri JPM...
20 Reactions
50 Replies
5K Views
Rais Samia mwema sana , alimtembelea Nairobi, alikutana naye Ubelgiji wakati wasaidizi wa ikulu walimwambia ampotezeee akagoma, mwishoni Lisu akamtenda ubaya kwa kumtukana balaa 2. Rais samia...
2 Reactions
34 Replies
476 Views
Hii inashangaza sana , huyu mwekezaji anasema Serikali ndio ilimwelekeza kuingiza gari 40 tu kati ya 150 za mwendokasi zilizoingia Tanzania. Baada ya Kamati kuibua madudu maneno yaliyoko mjini ni...
1 Reactions
2 Replies
102 Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Seif Shekalaghe ametembelea kwenye banda la Taasisi ya Saratani Ocean Road lililopo kwenye Ukumbi wa Bunge jijini Dodoma na kueleza kuwa anahitaji maelezo mengi...
1 Reactions
0 Replies
131 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na viongozi mbalimbali kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam kabla ya...
0 Reactions
5 Replies
175 Views
Chaguo la kwanza, Samia akiri kilichofanyika Oktoba 29 kilikuwa sio sahihi, aombe radhi, akubali hukumu yeyote kutoka kwa wananchi, aidha kusamehewa au kuwajibishwa, 'kila aombaye husamehewa'...
0 Reactions
5 Replies
171 Views
●Uwekezaji wake uboreshaji huduma hadharani kwa takwimu. ●Magonjwa yasiyoambukiza yawa mzigo, watu mil 6.9 waugua. ●Wagonjwa mil 37 watibiwa, UTI, malaria yaongoza usumbufu. 𝗬𝗔𝗪𝗔 𝗞𝗜𝗘𝗟𝗘𝗟𝗘𝗭𝗢...
0 Reactions
0 Replies
61 Views
Habari picha Pia soma: CCM waleta vurugu kwenye Kongamano la taasisi ya Mwl/Nyerere, Makonda ahusishwa kumpiga Warioba
2 Reactions
6 Replies
221 Views
Hii ni habari njema kwa kutenda haki na onyo kwa wahalifu wa kisiasa waliopo madarakani kuwaua watu nila kufuata sheria. Hopefully na hii haitaishua hapa, bali madikiteita wote na washirika wao...
1 Reactions
2 Replies
142 Views
guest-1787677255
Hii nchi ya ajabu sana na hatujui lengo la haya maigizo ya yule mfungwa hususani wa kiume yanamaanisha nini. Binafsi, namfahamu yule jamaa na kama kuna mtu wa Newala anaweza akawa anamjua yule...
17 Reactions
64 Replies
2K Views
Tume ilitoa mapendekezo muhimu na ya kina ili kuzuia marudio ya ghasia na kuimarisha amani ya kitaifa. Mapendekezo haya yanatokana na uchunguzi wa kina na yanalenga kuimarisha utawala bora...
0 Reactions
1 Replies
100 Views
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Moshi Vijijini umetoa onyo kali kwa viongozi wa Chama, Serikali na Dini watakaobainika kuchezea au kupuuza maslahi ya Vijana, ukisisitiza...
0 Reactions
2 Replies
346 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anatarajiwa siku ya Kesho kuondoka Nchini kuelekea Nchini Uganda kwa...
1 Reactions
27 Replies
560 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Maendeleo ya Vijana, Dkt. Joel Nanauka leo Aprili 20, 2026 atawasilisha hotuba ya bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2026/2027 bungeni jijini Dodoma. Aidha...
1 Reactions
8 Replies
618 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…