Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ninakuambia hapa na kukushauri, suala sio Urais , Wewe ni Binadamu!!. Huko CCM Kwako ni kwa moto, Kila Mtu anapambana kuzidi kukufanya uonekane ni Mbaya, Katili ,na dikteta usiye na Mfano ( japo...
4 Reactions
4 Replies
188 Views
Je vyombo vya usalama vimekuwa machawa au ni Uzalendo 1. Je utekaji unaweza kuwa uzalendo? Hasa kwa watu wasio na hatia 2. Kulinda watu ambao wanaiba kura na kushiriki wizi wa kura ni uzalendo...
4 Reactions
7 Replies
191 Views
- kuna chuki na uhasama uliosababishwa na wanaoitwa wasio julikana wakiteka , kupoteza na kuuwa raia. yawezekana ni haohao hapo juu ndio walioua ndugu zetu kwa maelfu oct 29. yawezekana ndo...
1 Reactions
2 Replies
96 Views
Alafu Wapinzani nao kukicha, Mnaanza habari za 2030 vile ,2030 hivi , ni kwamba mmekubali yaishe aongoze mpaka 2030??. Mtapigwa kipigo kibaya sana , CCM mnawajua hamuwajui? . CCM inatakiwa...
1 Reactions
6 Replies
138 Views
Sioni Harakari na Maisha ya kisiasa ya Mwl Nyerere penzi za Ukoloni, Yakifikia Maisha ya TUNDU LISSU katika zaman hizi za Wakoloni Weusi. Nyerere anabaki kua Baba wa Taifa, ila Historia...
4 Reactions
20 Replies
374 Views
Ukimjibu mtu ambae hana hoja katika jamii. Unampa mtu nafasi kujiona anafaa. Dili la Chauma kutumiwa na CCM lilishabuma. Andaeni maandamano ya nchi nzima Lissu aachaiwe maana akitoka nje CCM...
5 Reactions
11 Replies
226 Views
Hakuna marefu yasiyo na ncha, uzuri ni kwamba historia ni Mwalimu mzuri sana, Ipo siku ataanza kuandamwa mtu mwingine alafu watanzania hawa hawa watamsahau Lissu, Najua upepo uvumao kwa nguvu...
9 Reactions
156 Replies
14K Views
PENGINE LISSU AMESHITUKIA HILO LIMCHEZO KONGWE NA ATATAKA SASA KUKIFANYA KIWE CHA UPINZANI HALISI CDM walioganda na Mbowe na kuona Lissu kugombea ni kama usaliti wajitafakari sana uelewa wao wa...
40 Reactions
76 Replies
4K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amezugumza na Viongozi wa Vyama vya Siasa nchini, Ikulu Dar es Salaam leo tarehe 30 Julai, 2026.
10 Reactions
69 Replies
2K Views
DeletedMember281674
Akiwa katika Moja ya Mikutano yake ya Chama, amesema Kwamba Kuna gari limekuja nyumbani kwake aina ya Land cruiser Hardtop Nyeupe iliyosajiliwa kwaal namba T. 318 EQJ ikiwa ni na namba ambazo ni...
1 Reactions
6 Replies
241 Views
1.Jeshi la Wananchi: Mlindeni Heche. 2. Jeshi la Polisi: Mlindeni Heche. 3. TISS: Mlindeni Heche. 4. Dini zote Tanzania: Mlindeni Heche. 5. Makabila yote Tanzania: Mlindeni Heche. 6. Wanasayansi...
3 Reactions
4 Replies
178 Views
Hamjambo! Hii unaizungumziaje? Mtu anadai ni mwanaharakati wa haki za binadamu. Huku anapigana na dhulma za CCM. Alafu muda huohuo anawatetea Wamarekani wanapoionea Iran. Au yupo Upande wa...
3 Reactions
29 Replies
319 Views
Katika kuyajibu maswali aliyoulizwa kuna sehem kaulizwa uhusiano wake na Magufuli nje ya siasa akasema haya swali lililotangulia kwamba je ni kweli ana mpango wa kwenda ICC amejibu hapana na...
19 Reactions
26 Replies
12K Views
Mwanzoni Rais wetu alipendwa sana na mpaka baadhi ya nchi zikatamani kumuazima akatawale kule kwa siku kadhaa au miezi kadhaa, hii ilileta picha kwamba ama Magufuli alikuwa anafanya vema mwanzoni...
15 Reactions
153 Replies
18K Views
Kuna wanaosema Mbowe ndo awe mgombea Kwakuwa Lissu aligombea wakati uliopita Ila wakumbuke Mbowe aligombea 2005. Hata hivyo Tundu Lissu bado relevance yake ipo na anao mvuto ambao ni wa kipekee...
43 Reactions
105 Replies
5K Views
Kitendo cha Sheikh kusimama na kusema mtu yaani Lissu anyongwe halafu ukakaa kimya bila kukemea pale pale inaleta picha mbaya 1. Rais ni National comforter 2. Rais ni Miezi wa nchi 3. Rais...
41 Reactions
84 Replies
4K Views
Ni wazi ana mfadhaiko, wasi wasi na majuto makali sana hasa baada ya wanaojaribu kutetea ufisadi wake ndani ya chadema kukosa ushawishi na hoja zenye mashiko za kumsafisha na tuhuma hizo za...
2 Reactions
50 Replies
480 Views
Upitishaji haraka kanuni za Ulinzi wa Mashahidi eti kuficha mashahidi! Yote ni kwa sababu ya kuogopa alivyojipanga mheshimiwa Lissu Hii judiciary ya Tanzania ndo maana mmeahirisha ahirisha kesi...
19 Reactions
122 Replies
8K Views
Hauwezi kuwa mkristo halafu wakati huo huo ukawa mshabiki wa Rais @SuluhuSamia , NEVER. Nasema hivi kwa sababu kuwa mkristo ni kuamini na kufuata aliyoyatenda na kuyaishi Yesu Kristo. Yesu...
30 Reactions
61 Replies
2K Views
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam imepanga kufanya kikao cha kusikiliza Shauri la Uhaini Na. 19605/2025 linalomkabili Tundu Lissu kuanzia tarehe 10/08/2026 hadi tarehe 07/09/2026. Kabla ya...
3 Reactions
15 Replies
542 Views
Back
Top Bottom