Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Maandamano ya baadhi ya Watanzania wanaoishi Uholanzi yameripotiwa kuanza muda huu nje ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) mjini The Hague. Waandamanaji wamebeba mabango wakipinga kile...
25 Reactions
50 Replies
2K Views
‎ ‎ Watanzania waishio nchini Afrika Kusini wamefanya maandamano makubwa mjini Johannesburg leo Novemba 5, 2025 wakipinga mauaji ya raia yaliyotokea nchini Tanzania kufuatia matukio ya kisiasa ya...
9 Reactions
9 Replies
743 Views
Rais wa TLS, Wakili Boniface Mwabukusi amesema hayo tarehe 30 Aprili 2026 wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwenye Ukumbi wa AICC jijini Arusha.
2 Reactions
1 Replies
187 Views
Rais wa TLS, Wakili Boniface Mwabukusi amesema hayo tarehe 30 Aprili 2026 wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu uliofanyika AICC jijini Arusha. Anasema TLS vilevile inawajibu mkubwa si tu kwa...
2 Reactions
1 Replies
165 Views
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Ndugu Werema amemwambia mwandishi Balile kwamba wewe si muandishi wa habari za uchunguzi bali ni muhemea kodi ya pango. Jaji Werema alijibu hivyo baada ya mwandishi...
4 Reactions
79 Replies
11K Views
Kufikishwa ICC Kwa Samia Suluhu na Genge lake kunaenda kutupatia Katiba Mpya na Tume Mpya huru ya Uchaguzi yenye Reforms za kutosha. Taarifa za Uhakika kabisa ni kua, SAMIA na Genge lake...
12 Reactions
18 Replies
502 Views
  • Redirect
Wakenya wanasema wanamuogopa Mungu tu, Ruto ni mwajiriwa wao! https://twitter.com/MariaSTsehai/status/2051929840492920943?s=19
2 Reactions
Replies
Views
Kwa nini kama kweli, Mungu analaani WATUMISHI wasio timiza wajibu, wao iweje amwache aliyeua watu 518 kisa awe apo alipo atapewa Nini na Mungu? JE kwa Nini anaishi mpaka Leo?
0 Reactions
0 Replies
87 Views
MAANA YA UZALENDO 1. Tafsiri Rahisi - Upendo na kujitoa kwa ajili ya nchi yako 2. Mambo Makuu Ya Uzalendo Kupenda nchi yako bila kujali serikali iliyopo Kuweka maslahi ya Taifa mbele ya maslahi...
1 Reactions
3 Replies
161 Views
MIRADI MIKUU YA KIMKAKATI CHINI YA UONGOZI WA MHESHIMIWA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, 2021 – SASA Uongozi wa awamu ya sita umewekeza katika uendelezaji wa miradi ya kitaifa yenye tija kwa...
0 Reactions
1 Replies
214 Views
NILICHOKISEMA CHANNEL 10 KUHUSU USHIRIKI WANGU KATIKA KATIBA, UCHAGUZI NA SASA PART 1 NILICHOKISEMA CHANNEL 10 KUHUSU USHIRIKI WANGU KATIKA KATIBA, UCHAGUZI NA SASA PART 2
6 Reactions
91 Replies
11K Views
Wakuu, Tumefika lini kwenye Namba Q wakuu, kuna herufi nilikuwa naisubiria hapa kati, kwahiyo ndio basi tena? Huyu mtu anaenda zake kufanya uhalifu, anakukonga anasepa, unatekwa umesukumiwa humo...
3 Reactions
20 Replies
522 Views
Leo hii Lijualikali ni DC, Wenje na Peter Msigwa hawana cheo chochote, hivi wanalala? Daaaa! Wenjeee, daaaaa Peter Msigwa hata UJUMBE wa nyumba kumi hamna?😊🤣😵‍💫😁😁😄😃😀
2 Reactions
11 Replies
343 Views
Kitendo cha Rais wa Jamhuri ya Kenya, William Ruto, kuhutubia kwa lugha ya Kiingereza alipokuwa akilihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kinafikirisha sana kuhusu mustakabali wa...
1 Reactions
56 Replies
927 Views
https://www.youtube.com/watch?v=ccIXTSjIcMs
0 Reactions
2 Replies
111 Views
Bila Tundu Lissu amani Tanzania itakuwa ndoto mnabaki kutishia tu kama kabla ya Oct 29
5 Reactions
6 Replies
183 Views
Kwa sasa hakuna chombo cha dola kinachochukiwa na wananchi kama jeshi la polisi, na kadri jeshi linavyochukiwa ndivyo wananchi wanavyozidi kuichukia serikali. Jeshi la polisi linatuhumiwa...
7 Reactions
11 Replies
307 Views
Dkt. Tulia alitangaza kugombea usipika GHAFLA akabadili gia angani, sijui nini kilimsibu ila lipo jambo ndani ya CCM lilijitokeza. Sizungumziii hata like la Majaliwa, maana staki nongwa mimi...
3 Reactions
3 Replies
270 Views
  • Redirect
Ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa vurugu za uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 ni ya kihistoria, ikionesha uadilifu wa hali ya juu. Imejengwa juu ya ushahidi wa kina, ushirikishwaji wa wananchi na kujitolea...
1 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom