Ni maneno ya kisiasa au maneno ya watu wenye Nia ya kufanya uhaini??
Instigation ni Neno bays au zuri.
Kuwa himiza watu kutetea haki zao ni dhambi, kuwa instigate wakalime , nk ni
Mwigulu Nchemba kukagua hali ya usafirishaji wa abiria na kuzungumza na wananchi pamoja na madereva.
Ziara hiyo itafanyika leo, Jumatano, 30 Septemba 2026, katika Kituo cha Mabasi Magufuli, Mbezi...
Madereva si wachache nchi nzima.
Kwamba wameweza kuanzisha mgomo nchi nzima ya Tanzania ni suala limetugutua kidogo.
Tunaona serikali iko katika panic mode- hawakujua hili linakuja.
Hilo ni somo...
Kama ilivyo kwa binadamu wengine ni vizuri kujuliana hali na kuthamini uhai wa kila mtu kwa hiyo naelewa nikiona watu wanawaza yuko wapi bwana Ima.
Ila sisi sote tunajua quality ya mpinzani...
Katika final submission, Katuga alileta hoja ambayo kwa mtazamo wangu ndiyo sehemu yenye utata mkubwa zaidi kwenye suala la adhabu. Alidai kwamba Section 39(2)(d) inatumia maneno “shall be...
Wanataka siku zote adui yao awe CCM ili waendelee kubaki kututawala.
Au wanataka mpinzani soft soft leo watu wanatekwa kesho tunakutana kwenye mechi ya Simba na Yanga tunachekeana na tag juu “...
Wanabodi,
Kama kawa, kila nipatapo fursa
Kufuatia tishio la matamshi yenye viashiria vya uhaini dhidi ya serikali ya JMT kwa baadhi ya watu, na watu hao kushikiliwa na vyombo vya dola...
Siku moja tangu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, alipokutana na kuzungumza na madereva na abiria jioni ya tarehe 29 Septemba 2026 kufuatia mgomo wa kupinga mfumo wa kukatwa...
Hii kesi ya uhaini ya Lissu, imeniacha na maswali mengi lakini pia imenishangaza kwa mengi. Mojawapo ni sheria kutoa mwanya kuwa kuitisha serikali ni uhaini. Yaani kuitisha serikali ni ingredients...
CHADEMA Haina Majeshi Wala Vyombo vya Usalama.
Wanaharakati Ndani na Nje, hawana Majeshi Wala Vyombo vya Usalama.
Mabeberu , Wasingeweza kuingiza Silaha Nchini kwa sababu CCM Ina Majeshi na...
Haki imetendeka! Sasa wa kuhamisha Moshi Manispaa, ni Afisa habari wa Moshi Manispaa, Bwana Rama.
Huyu ndiye mtengeneza majungu,fitina na elimu yake ina shida!
Msipo mhamisha,mapema,kazi yake ni...
DC mstaafu Kasesela amesema mara baada ya kutoa ile kauli ambayo haikueleweka vizuri kwa yule Dereva wa Bajaj, Mwalimu wake wa siasa Dr Kikwete alimpigia simu na kumkemea.
Kasesela anasema...
Mkandarasi anaetekeleza Mradi wa Maji wa vijiji Nane Ngorongoro ametakiwa kuhakikisha ndani ya miezi mitatu Mradi huo umekamilika na unaanza kutoa huduma ya maji safi na salama kwa wakazi wa...
ANADANGANYA kusema kwamba tatizo ni Sheria ya Bunge ,kwamba yeye hawezi ifuta.
Tatizo wala sio Sheria ya usalama Barabarani ,Sheria ipo wazi kabisa,Sheria ya usalama Barabarani (Road Traffic Act...
Ndugu WanaJF,
Ifuatayo ni orodha ya waheshimiwa wanaotuwakilisha Bungeni lakini hawajawahi kuuliza swali lolote katika Bunge lililoanza mwaka 2005 na kumalizika mwakani! Kwa ujumla wabunge 89...
Rais wetu ni mvivu wa kufikiria ndio maana hataki kupoteza muda na yeye anaangalia yake makali tu yaliyotengwa ccm anayapa ubunge so shame.
Yaani teuzi zake ni mwenye nacho anaongezea.
Mtu amekuwa...
Wana bodi!
Mimi kama Kuhani Katika Hekalu Jeusi ambaye ninaufahamu wa mambo mbalimbali ya Kiroho. Nimeona niwajulishe hili.
Kwenye huu Ulimwengu kuna watu walichorwa Alama na miungu ambayo alama...
Mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro,Hassan Bomboka ameripotiwa kuagiza kukamatwa na kuwekwa ndani kiongozi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM),Tawi la Bomang'ombe Bi,Agnes Kimaro huku kukiwa na...