Ulimi wa Rais Samia Umelituliza Taifa na kuleta Mshikamano

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
39,760
Reaction score
25,652
Ndugu zangu watanzania.

Ulimi Ni kiungo kidogo Sana katika mwili wa binadamu lakini chenye madhara makubwa Sana kikitumiwa vibaya,Katika uongozi na kwa kiongozi hasa kwa nafasi ya Urais ulimi Ni kiungo chenye Thamani kubwa Sana na kinachopaswa kuchungwa kwa uangalifu mkubwa Sana Tena kwa kumtanguliza Mwenyezi MUNGU maana kinaweza kuleta madhara ambayo hayakutegemewa kitaifa na hata kimataifa.

Ulimi unaweza kusababisha Vita,chuki,mgawanyiko na mpasuko ndani ya Taifa moja na nchi moja,uhasama,kutokuaminiana,machafuko,vurugu ,hasira ,visasi na hata utengano, lakini pia Ni ulimi huo huo unaweza kuleta Amani ,umoja, mshikamano,upendo, furaha na maelewano, hata ukisikia mtu anakubalika anapozungumza au kutoa maagizo au maonyo au maelekezo Basi Ni ulimi ndio huchochea yote hayo,ni ulimi unaoweza amsha morali ya wanajeshi waloliochoka na Vita ili waendelee kupambana kwa ajili ya Taifa lao na Ni ulimi huo huo unaoweza shusha morali ya wanajeshi na kuwafanya watelekeze silaha zao na kuukimbia uwanja wa Vita.

Ulimi unao uwezo wa kuponya majeraha na kuleta faraja, Tabasamu, matumaini na Imani kwa watu,ulimi unao uwezo wa kukata machozi ya mtu yatiririkayo katika mwili wake,ulimi unao uwezo wa kumfanya mtu mwenye hasira akaweka silaha chini,ulimi unao uwezo wa kuunganisha familia na Taifa kwa ujumla,ulimi unaoweza wakuwafanya watu wakafanya kazi kwa bidii hata bila malipo.

Tangia Rais Samia aapishwe na kuwa Rais wa jamjuri ya muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama ameleta furaha katika mioyo ya Watanzania kwa kutumia ulimi, Ni ulimi wa Rais Samia umeleta wawekezaji na watalii wa kila aina ,Ni ulimi wa Rais Samia umejenga Imani kwa wafanyabiashara na Hali ya kuaminiana,Ni ulimi wa Rais Samia umeleta amani na utulivu nchini,Ni ulimi wa Rais Samia umeamsha matumaini katika mioyo ya vijana wapambanaji,Ni ulimi wa Rais Samia umepandisha mapato mpaka kufikia Trioni mbili kwa Mwezi pasipo kukimbizana Wala kufungiana biashara mitaani,Ni ulimi wa Rais Samia imefanya makamu wa Rais wa marekani kuiweka Tanzania katika orodha za nchi tatu alizotaka kuzitembelea Kati ya makumi ya nchi Barani Afrika,Ni ulimi wa Rais Samia umevutia madollar kupitia uwekezaji.

Ni ulimi wa Rais Samia ulioamsha morali ya kazi kwa watumishi wa umma, Ni ulimi wa Rais Samia uliowafanya watanzania waishi kwa upendo na kuzungumza lugha moja,Ni ulimi wa Rais Samia uliofanya viongozi wa upinzani wakipanda majukwaani kuiombea mema nchi yetu na Taifa letu ,Ni ulimi wa Rais Samia uliofungua masoko katika nchi jirani , ni ulimi wa Rais Samia uliowafanya wafanyabiashara kutoka Mataifa mbalimbali kutumia na kupitisha bidhàa zao katika bandari yetu na Ni ulimi wa Rais Samia ulioliheshimisha Taifa letu na kulifanya liandikwe na kuzungumzwa vyema katika anga za kimataifa na Ni ulimi wa Rais Samia ilioifanya Tanzania kuwa na ushawishi katika siasa za kimataifa Kama ilivyokuwa Enzi za Hayati mwalimu Nyerere.

Rais Samia kupitia ulimi wake ameleta faraja na matumaini katika mioyo ya watanzania,ndio sababu watu Wana Ari na nguvu ya kufanya kazi ,kwa kuwa wana matumaini ya kutimiza Ndoto zao na kufikia malengo Yao,ndio sababu watu wanafanya bidii na kujishughulisha kwa kuwa Wana Iona fursa ya kukua kiuchumi,ndio sababu watu Wana furaha kwa kuwa wanaiona serikali ipo mikononi mwao na inafanya kazi kwa ajili Yao na wao ndio wenye nchi na mamlaka na kwamba viongozi wote Ni watumishi wao wanaopaswa kuwasikiliza na kuwapatia huduma iliyo Bora pasipo masimango au matusi.

Kwa hapa alipotufikisha Rais Samia kwa hakika Anastahili pongezi,kutiwa moyo na kupewa faraja,Anastahili kuungwa mkono na kupewa ushirikiano,Anastahili kupewa muhula wa pili wa uongozi ili aendeleze kazi njema aliyoianza ya kututumikia watanzania,Anastahili kupewa Nishani ya Heshima ,Anastahili kujengewa mnara maana ameacha Alama katika kila eneo na katika Mioyo ya watanzania,Anastahili kushukuriwa kwa kujitoa na kujitolea kwake katika kututumikia watanzania kwa moyo wa upendo na uzalendo mkubwa Sana uliyopelekea mioyo ya watanzania kupeperusha bendera za furaha zenye matumaini na Imani kwa serikali ya CCM chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa Rais Samia.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Acha ujinga na uchawa usio na maana, jielekeze kwenye mijadala inayoendelea ya ubadhilifu /wizi uliofanywa na makada wa ccm ktk secta zote za umma
 
Hivi wewe mpuuzi haya maujingaujinga unayoandika unayaokota wapi?
Kama unayatoa kichwani kwako wahi mirembe wewe ni kichaa
 
Acha ujinga na uchawa usio na maana, jielekeze kwenye mijadala inayoendelea ya ubadhilifu /wizi uliofanywa na makada wa ccm ktk secta zote za umma
Hakuna atakayebakia salama akibainika Kuchezea Fedha za Umma,katika Hilo Rais wetu mama Samia Hana Subira Wala kumwangalia mtu usoni,Hana huruma na mtu katika hilo
 
Macho yameleta usingizi kwa taifa pia.
Rais Samia Ni zawadi kwetu watanzania tunayopaswa kujivunia na kuiheshimu Sana maana viongozi aina yake huja Kama Nyota katikati ya Giza ,huja Kama Nuri katikati ya Mioyo yenye Giza,huja Kama Tumaini katikati ya waliokata Tamaa
 
Back
Top Bottom