Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,264
- 7,404
Mwanzoni nlijua ni TPDC peke yake kumbe shida na EWURA ni Shida.
Wanakwamisha vibali vya kufunga vituo vya kujazia Gesi asilia kwenye magari.
Kwa sasa Tanzania nzima vituo vilikuwa viwili tu vya kujazia gesi yaani Ubungo na Tazara sasa kituo cha Tazara kikapata hitilafu wakaambiwa warekebishe na wameshakaguliwa na inspector wa Gesi.
Sasa tatizo linakuja kwa hawa EWURA wanazungusha kutoa Kibalii ya kuendelea na kazi wakati kituo kilishakaguliwa na Mtaalamu Dr Rajabu ambaye ndio Last say kwenye ukaguzi!
Watu wanateseka kituo ni kimoja magari kibao yaan mtu anasubiri mpaka masaa 3 kujaza gesi!
Hata vibali vya kuanzisha vituo vingine vya kujazia gesi bado wamevikalia miaka watu hadi wenye ma sheli waliomba lakini wapiiiii.
Ni aibu kampuni kama TPDC walitumia hela ya serikali kuwawekea wafanyakazi wao gesi kwenye magari wakati hawana hata pa kujazia wooote wanajaa Ubungo hapo yaan sijui sisi tumelaaaniwa wapi jamani.
muda utasema
=====
21 Aprili 2023: UPDATES KUTOKA EWURA
=====
Tangu 2021 EWURA imetoa leseni za uendeshaji wa vituo vya gas ( CNG) kwa Kampuni za:-
1. Anric-Tazara Dar es Salaam
2. Dangote-Mtwara
3. Pan Africa-Ubungo
Waliopewa vibali vya ujenzi kwa maana wanaendelea na ujenzi ni:-
1. TAQA DALBIT (Airport Dar)
2. Dangote-Mkuranga Pwani
3. TURKEY-Bagamoyo
4. TAQA DALBIT-Dar es Salaam Sam Nujoma road
5. TPDC wapo kwenye mchakatato wa kuomba vibali vya ujenzi wa vituo viwili Dar es Salaam
Hivyo maelezo kwamba EWURA inakwamisha mradi wa gesi kwenye magari si sahihi.
Utaratibu wa kupata vibali vya ujenzi na leseni za kuendesha vituo vya gesi asilia iliyogandamizwa (CNG) huu hapa👇🏾
Gharama za vibali vya ujenzi na leseni hizi hapa👇🏾
Pia, mwenye hoja ama jambo lolote lenye kuhitaji ufafanuzi anaweza kupiga namba ya bure 0800110030 ; Jumatatu hadi Ijumaa saa 2 asubuhi hadi saa 10 jioni
Vilevile ofisi za EWURA zilizopo Dodoma, Dar es Salaam, Mbeya, Arusha na Mwanza zipo wazi na tayari kutoa huduma au ufafanuzi wa suala lolote kuhusu gesi asilia na uendeshaji wa vituo vya CNG na masuala mengine ya udhibiti.