maiyanga1
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 1,317
- 1,790
Eid Mubarak.
Mara kadhaa nimewahi kusikia kuhusu uhusiano wa CCM n BAKWATA. Hili suala lina ukweli gani? Na kama lina ukweli nani anafaidika na uhusiano huo?
Lakini pia inakuwaje mara kadhaa BAKWATA huwa wanaadhimisha sikukuu ya Idd tofauti na waislam wengine duniani, ukizingatia tofauti ya muda kati ya Tanzania na Uarabuni ni masaa tu.
Sehemu kubwa ya waislam duniani walisherehekea sikukuu ya Idd jana, ikiwemo Kenya ambao walitangaza jana kuwa siku ya mapumziko kwa ajili ya sikukuu hiyo.