Nakumbuka Mkapa na Kikwete walikuwa na Washauri wa Uchumi na Siasa lakini Magufuli hakuwa nao. Upi mfumo Mzuri?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,134
Wakati wa Mkapa Kanali Nsa Kaisi na mzee Kingunge walikuwa Washauri upande wa Uchumi na Siasa

Awamu ya Shujaa Magufuli sijawahi kusikia kama ana Washauri ama wa Uchumi au hata Siasa

Naomba kuelimishwa umuhimu wa hawa Washauri

Eid mubarak!
 
Alikuwa nao ....kama kawaida hujawahi kuwasikia tu ....mfano DC wa Mtwara....Alikuwa mshauri wa sheria.....akamtumbua
 
Wakati wa Mkapa Kanali Nsa Kaisi na mzee Kingunge walikuwa Washauri upande wa Uchumi na Siasa

Awamu ya Shujaa Magufuli sijawahi kusikia kama ana Washauri ama wa Uchumi au hata Siasa

Naomba kuelimishwa umuhimu wa hawa Washauri

Eid mubarak!
Kwa kukosa washauri ndo maana nchi ilikuwa inaongozwa kinyume na maumbile! Uvunjaji wa katiba ilikuwa sawa tu enzi za shujaa wenu
 
Wakati wa Mkapa Kanali Nsa Kaisi na mzee Kingunge walikuwa Washauri upande wa Uchumi na Siasa

Awamu ya Shujaa Magufuli sijawahi kusikia kama ana Washauri ama wa Uchumi au hata Siasa

Naomba kuelimishwa umuhimu wa hawa Washauri

Eid mubarak!
prof.'mutasika' toka department ya uchumi udsm alikuwa moja ya mshauri wake wa uchumi.

kadinali Pengo alikuwa mshauri wake wa mambo ya kidini na kijamii nk.

Hao wapo kisheria sio rais anaamua tu,rais ni taasis!
 
Ahsante sana mkuu

Kuwaongoza watz hakuhitaji ushauri ni kuwapeleka kimeno meno tu 😊
 
prof.'mutasika' toka department ya uchumi udsm alikuwa moja ya mshauri wake wa uchumi.

kadinali Pengo alikuwa mshauri wake wa mambo ya kidini na kijamii nk.

Hao wapo kisheria sio rais anaamua tu,rais ni taasis!
Nikitaka kuchangia kuendana na mtoa mada, sentensi yako ya mwisho, kuwa ni hitaji la kisheria, imenibidi nifunge mdomo wangu.
 
Back
Top Bottom