Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,262
- 18,711
Kinachofanya kiongozi afanikiwe ni kujitenga na washauri wasiofaa. Kwa upande wa Rais, Baraza la Mawaziri ndio chombo muhimu cha kumshauri Rais.
Inapotokea kiongozi kufanya mishe za kunywa chai fedha za miradi, hapo ndipo anakosa nguvu ya kusimamia ukweli.
Tanzania ni moja ya nchi za ajabu sana, kila mwaka Report ya CAG ikitoka viongozi wanawaka day 1 utadhani nchi wanayoiongoza siyo Tanzania. CAG hata akisema Trilion 1 imepigwa week 1 viongozi watawaka lakini baada ya hapo kila kitu kinarudi kwenye hali yake ya mwanzo.
Kwa namna hii ni ngumu sana kutekeleza mikakati ya kitaifa kama viongozi wanashindwa kusimamia malengo ya kifaita, kwasababu ya hukumu iliyo ndani yao kwa kuhusika katika wizi wa fedha za umma.
Ifike wakati tukubali kunahitajika mabadiliko makubwa ya kiuongozi na taratibu za kuwasimamia viongozi. Haiwezekani kila mwaka utekelezaji wa bajeti hauvuki 60% kwenye miradi na kwenye kunywa chai utekelezaji unakua zaidi ya 100% na viongozi bado wapo ofisini.
Tutafika tumechoka sana, au tukufe kabisa.[emoji17]