Ilianza hivi hivi hata ule mwaka

Mapema 2021 matukio yalianza hivi hivi safari za Karimjee kutokwisha hadi pigo kuu lilipotimu.

Ee bwana Mungu wa Majeshi mlinde Rais wetu na mpe nguvu ili aweze kulitumikia Taifa kwa amani-AMINA!
Huu mchezo mnausema sana humu, na sio kwamba mnausema kwa bahati mbaya bali mna mipango hiyo. Lakini bora muendelee ni hii michezo ya kumalizana, maana huenda tukapata mabadiliko ya kweli.
 
Mapema 2021 matukio yalianza hivi hivi safari za Karimjee kutokwisha hadi pigo kuu lilipotimu.

Ee bwana Mungu wa Majeshi mlinde Rais wetu na mpe nguvu ili aweze kulitumikia Taifa kwa amani-AMINA!
Hiyo ngoma mpaka 2030! Na kwakujua hivyo ndipo mnapo pagawishana mnaanza kutafunana
 
Back
Top Bottom