Posho inazidi Bajeti yote ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,218
39,054
Bunge limepitisha makadirio na mapato ya mapato na matumizi ya Shilingi 35,445,041,000 ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa mwaka wa fedha 2023/2024 kwa lengo la katika kuwahudumia Watanzania.

Wabunge wamefikia uamuzi huo Bungeni, Juni 6, 2023 mchana jijini Dodoma mara baada ya kujadili mpango wa Wizara hiyo uliowasilishwa na Waziri Balozi Dkt. Pindi Chana.

Tukumbuke wizara ya Ardhi ilipitisha posho ya Billion 47. Yaani posho inazidi Bajeti ya Wizara ya sanaa na Michezo hii ni sawa?

Tanzania nani alituroga? Tukitaka mafanikio ya hii nchi tuwe serious, nchi inaliwa na wachache sana.
 
Back
Top Bottom