Milonji
Senior Member
- May 26, 2022
- 171
- 524
Habari wapendwa,
Lao bajeti ya Wizara ya Habari ilikuwa ikisomwa Bungeni.
Lakini kabla ya Bajeti hiyo kulikuwa na utambulisho wa Watu mbalimbali.
Moja kati ya waliotambulishwa ni Vicent Kigosi (Ray) ambaye alikuwa amevaa hereni kitu ambacho kimaadili yetu kama Watanzania siyo sawa.
Ninachojiuliza, Je Bunge limeruhusu vipi Jambo hili?
Je, hii siyo kushusha heshima ya Bunge kwa Mtoto wa Kiume kuvaa hereni Bungeni?
Nawasilisha