Mnyika: Kamati za PAC na LAAC zitakazochunguza Ripoti ya CAG haziongozwi na Wabunge wa Upinzani kama inavyotakiwa Kikanuni!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,910
141,861
Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika amesema Kikatiba Kamati za Bunge za Hesabu za Mashirika ya Umma PAC na ile ya Hesabu za Serikal za Mitaa LAAC zinatakiwa ziongozwe na Wabunge wa Upinzani.

Lakini kwa sasa zinaongozwa na Kaboyoka na Mdee ambao siyo Wabunge wa CHADEMA, walishawafukuza.

Kaboyoka na Mdee ndio watachunguza Ripoti ya CAG, amelalamika Mnyika

Chanzo: ITV Habari
 
Mlipuko wa Halima akitetea ugali wake👇

.....Edit..Halima mwenyewe👇
Screenshot_20230411-015045_Twitter.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20230410-204141_Twitter.jpg
    Screenshot_20230410-204141_Twitter.jpg
    237.3 KB · Views: 2
Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika amesema Kikatiba Kamati za Bunge za Hesabu za Mashirika ya Umma PAC na ile ya Hesabu za Serikal za Mitaa LAAC zinatakiwa ziongozwe na Wabunge wa Upinzani

Lakini kwa sasa zinaongozwa na Kaboyoka na Mdee ambao siyo Wabunge wa Chadema, walishawafukuza

Kaboyoka na Mdee ndio watachunguza Ripoti ya CAG, amelalamika Mnyika

Source ITV Habari
Kisheria hao Bado ni CHADEMA,kesi Bado ipo mahakamani
 
Ccm Wanasotea Katiba Na Sheria Zote Tanzania, Huwa Ni Watu Wa Kuvunja Utaratibu
 
Hapa wale wazee wa "sheria na taratibu" zifuatwe sijui watasimamia wapi?

Inshort hilo bunge halina maana tu, na kamati zake zote, nazo hazina maana vile vile.

Hii biashara ya kujidai sasa hivi wale wavunja sheria wanafuata sheria ni baada ya kuona kuna "gap" kwenye hizo sheria watalitumia, wala sio vinginevyo.

Unamuagiza mwizi amhoji mwizi mwenzie walioko mbali, wakati kuna mwizi mwingine hapo pembeni yako yupo unamtazama tu!.
 
Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika amesema Kikatiba Kamati za Bunge za Hesabu za Mashirika ya Umma PAC na ile ya Hesabu za Serikal za Mitaa LAAC zinatakiwa ziongozwe na Wabunge wa Upinzani

Lakini kwa sasa zinaongozwa na Kaboyoka na Mdee ambao siyo Wabunge wa Chadema, walishawafukuza

Kaboyoka na Mdee ndio watachunguza Ripoti ya CAG, amelalamika Mnyika

Source ITV Habari
Sasa mbona bado wapo Bungeni?? Mnyika Acha sanaa
 
Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika amesema Kikatiba Kamati za Bunge za Hesabu za Mashirika ya Umma PAC na ile ya Hesabu za Serikal za Mitaa LAAC zinatakiwa ziongozwe na Wabunge wa Upinzani.

Lakini kwa sasa zinaongozwa na Kaboyoka na Mdee ambao siyo Wabunge wa CHADEMA, walishawafukuza.

Kaboyoka na Mdee ndio watachunguza Ripoti ya CAG, amelalamika Mnyika

Chanzo: ITV Habari

FtGW0sQX0AA8O-q.jpeg

FtX8OZvXoAs3PLI.jpeg

FsvJmEPXwAAxTEG.jpeg
 
Kisheria hao Bado ni CHADEMA,kesi Bado ipo mahakamani
kwamba wewe unaijua sheria kuliko chadema juu ya wanachama wao?

Haya tuambie kama ni wanachama wa chadema kwanin wako mahakaman kupinga kufukuzwa uwanachama wao chadema na one of their prayers ni kwamba mahakama urudishe uwanachama wao naekeweka au naelimisha yale mashoga yaliyojazana ccm akili yote ilishabaki kuwaza jambo moja tu.

BOTTOM LINE mpaka sasa hao malaya na bidhaa za kichina sio wanachadema watake wasitake labda chadena ya sukuma gang.
 
Hapa wale wazee wa "sheria na taratibu" zifuatwe sijui watasimamia wapi?

Inshort hilo bunge halina maana tu, na kamati zake zote, nazo hazina maana vile vile.

Hii biashara ya kujidai sasa hivi wale wavunja sheria wanafuata sheria ni baada ya kuona kuna "gap" kwenye hizo sheria watalitumia, wala sio vinginevyo.

Unamuagiza mwizi amhoji mwizi mwenzie walioko mbali, wakati kuna mwizi mwingine hapo pembeni yako yupo unamtazama tu!.
Unatakaje!?
 
Mnyika aache vituko, mwenyekiti na makamu wameshalamba asali, au yeye ameachwa mataa? Wale akina dada ni CDM mpaka bunge linamaliza muda wake.
 
Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika amesema Kikatiba Kamati za Bunge za Hesabu za Mashirika ya Umma PAC na ile ya Hesabu za Serikal za Mitaa LAAC zinatakiwa ziongozwe na Wabunge wa Upinzani.

Lakini kwa sasa zinaongozwa na Kaboyoka na Mdee ambao siyo Wabunge wa CHADEMA, walishawafukuza.

Kaboyoka na Mdee ndio watachunguza Ripoti ya CAG, amelalamika Mnyika

Chanzo: ITV Habari
Kanuni inasema LAAC isiongozwe na Mbunge wa CCM. Kwani Halima ni CCM? Jimbo gani? Maana yake ni kwamba kama wote ni CCM basi Mwenykiti ni sawa kuwa CCM. Mwenyeki anawakilisha Bunge, si Chama. Lakini yote haya ni kosa la tundulissu kwa,marusi yake kaudhi Wapiga kura. Alikuta Wabunge 107 wa Dr Slaa na Lowassa akawapoteza wote kasoro mmoja. What happened? Hilo ndiyo swali, si PAC.
 
Back
Top Bottom