Jina lake nalihifadhi.
Mtaalamu yule mahsusi wa mifumo ya TEHEMA ndiye Afisa Usalama Mkuu wa bandari kavu ya DP WORD PALE KARIBU NA KABUGA jirani kabisa na yalipo makazi ya kikosi cha ulinzi wa...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imezindua rasmi Ubalozi na Uwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa jijini
Vienna nchini Austria.
Akizungumza...
Hakuna jambo baya kama mmoja wenu kugeuka kuwa kibaraka dhidi ya jamii yake. Hicho ndicho kilichofanywa na wale wabunge bandia kule bungeni.
Wabunge hawa vibaraka waliongozwa na Musukuma na Nape...
Kwa maoni yangu.
Ni kama vipi lile bunge lilikuwa linampa Mbowe promo za kisiasa badala ya kuwaelimisha watanzania uzuri wa yale makubaliano.
Ni kama vile wabunge walikuwa wanawapiga biti kali...
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 47 leo Juni 13, 2023.
Naibu wa Waziri wa Fedha, Hamad Chande amesema “Kwa mujibu wa taarifa ya National Accounts for Tanzania...
CCM ni chama cha majizi. Siku zote mwizi ukigusa maslahi yake lazima akuchukie. Mbowe amefanya kosa gani? Kusema tu Tanganyika inaibiwa?
Leo hii wameweka vijana kumtukana na kumtweza Mbowe kwa...
Generally Ulimwengu anauliza hilo kwa watanzania.
Naonmba tujadli hili suala bila kuchanganya au kutawaliwa na jaziba za kiitikadi.
Mbunge wa kchaguliwa anawawakilisha wapiga kura wake wa jinsia...
Ndugu zangu watanzania,
Napenda kuwataarifu ya kuwa serikali ya Rais Samia Inatambua Umuhimu na upekee wa Bandari yetu ya Dar es salaam,Inatambua kuwa bandari hiyo ndio moyo wa uchumi wetu,ndio...
Wakuu mimi najaribu kuwaza tu kwa wepesi wangu wa akili.
Sote tunajua kwamba mambo ya usalama wa nchi na hasa yale yanayohusu jeshi huwa ni siri ya jeshi japo wananchi tuna nafasi yetu ya...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa imesema katika kuhakikisha maslahi ya watanzania yanalindwa katika mkataba umeweka vifungu...
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kwa kushirikiana na Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) leo 12 Juni 2023 wameendesha Kongamano la Kitaifa la Kujengewa uelewa...
Haya nimejifunza baada ya kupitia vyombo vya habari na mitandao mbali mbali kuhusu mikataba ya makubaliano ambayo Dp World waliingia sehemu mbali mbali;
1. DP World ni kampuni kubwa duniani hasa...
Maisha yanaenda kasi sana!
Kwa sasa hivi hapa Tanzania kama lipo kundi linatamani uhuru wa maoni binafsi ubinywe basi ni chawa wa Samia pro max.
Kasi ya kukosolewa Samia kwenye mitandao ya...
Sio uongo Watanzania sisi ni watu wa ajabu sana. Mkitumia nguvu zenu kututetea hata hatuna muda, hatujali wala kufikiri bali inafika wakati hadi tunawakebehi.
Lakini mambo yasiyo na faida kwetu...
Huo ndiwo ukweli.
Wawakilishi wa wananchi hususani wabunge wote ni waoga kuukosoa Utawala wa Samia kwa hofu kubwa ya kutokuteuliwa 2025 kuwa wagombea wa nafasi hiyo.
Kama yupo awaye na matarajio...
Kipengele hiki naambiwa kiko kwenye makubaliano kati ya Tanzania na Saudia kuhusu uendeshaji wa bandari ya Dar es Salaam.
Naambiwaa ni mkataba si wa miaka 100 bali ule usio na kikomo...WOW...
Moja kwa moja kwenye hoja
Mchakato wa kumleta DP World amezingatia sheria gani?
Kwa Sheria ya Manunuzi imeweka takwa la mchakato wa manunuzi kuwa na ushindani wa wazi. Vipo vipengere...
Spika Tulia amesema wanaoamini nguvu ya dola ilitumika 2020 kuwaingiza wabunge wa CCM bungeni ni imani tu na hakuna mtu ameona mahali. Amesema nchi hii ina utaratibu wa kwenda mahakamani kuonesha...