Wabunge Vibaraka Out, juhudi za Pamoja

Wabunge Vibaraka Out, juhudi za Pamoja

Bams

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
19,768
Reaction score
49,948
Hakuna jambo baya kama mmoja wenu kugeuka kuwa kibaraka dhidi ya jamii yake. Hicho ndicho kilichofanywa na wale wabunge bandia kule bungeni.

Wabunge hawa vibaraka waliongozwa na Musukuma na Nape, na wengine wote wakawaunga mkono.

Japo uchaguzi wa Tanzania huwa ni kiinimacho, tupambane kwa nguvu ya pamoja bila ya kujali vyama, hawa wabunge waovu, kusiwepo hata mmoja wa kwenda Bungeni. Hata kama una mapenzi makubwa ya chama chako kiasi, likionekana jina mojawapo la hawa baradhuli, hakuna kufikiria mara mbili, kura yako iwe kwa mwingine yeyote.

Mwaka 2025, baada ya kupiga kura hakuna kuondoka, kura zihesabiwe hadharani.
 
Wanaomua matokeo ya Chaguzi, ni wanao hesabu kura na wanao tangaza matokeo ya uchaguzi.

kutegua mtego huu unahitaji kujitoa muhanga.
 
Kama CCM wameiba Sanduku la kura na kulificha kusikojulikana, kupiga kura na kuzilinda hakutosaidia.

Unaweza kulinda kura ya diwani na mbunge,

Kura ya Rais huwezi ilinda, na RAIS ndo mhusika mkuu na chanzo Cha mkataba huo batili.

Kuteka na kuiba kura kuzuia KWELI Ili Uongo utawale Kwa mabavu ni kujitwalia Utukufu wa Mungu,

Mungu atajibu yote tukimwomba, kama aliangusha utawala wa Rumi, haezi shindwa kuiamgusha CCM .

Atawafitinisha wao Kwa wao Ili andiko litimie.

Tusubiri.
 
Hakuna jambo baya kama mmoja wenu kugeuka kuwa kibaraka dhidi ya jamii yake. Hicho ndicho kilichofanywa na wale wabunge bandia kule bungeni.

Wabunge hawa vibaraka waliongozwa na Musukuma na Nape, na wengine wote wakawaunga mkono.

Japo uchaguzi wa Tanzania huwa ni kiinimacho, tupambane kwa nguvu ya pamoja bila ya kujali vyama, hawa wabunge waovu, kusiwepo hata mmoja wa kwenda Bungeni. Hata kama una mapenzi makubwa ya chama chako kiasi, likionekana jina mojawapo la hawa baradhuli, hakuna kufikiria mara mbili, kura yako iwe kwa mwingine yeyote.

Mwaka 2025, baada ya kupiga kura hakuna kuondoka, kura zihesabiwe hadharani.
Inabidi jambo lifanyike kwa kweli, wapatikane wabunge wenye kutanguliza maslahi ya Taifa badala ya maslahi binafsi kupitiliza.
 
Kama CCM wameiba Sanduku la kura na kulificha kusikojulikana, kupiga kura na kuzilinda hakutosaidia.

Unaweza kulinda kura ya diwani na mbunge,

Kura ya Rais huwezi ilinda, na RAIS ndo mhusika mkuu na chanzo Cha mkataba huo batili.

Kuteka na kuiba kura kuzuia KWELI Ili Uongo utawale Kwa mabavu ni kujitwalia Utukufu wa Mungu,

Mungu atajibu yote tukimwomba, kama aliangusha utawala wa Rumi, haezi shindwa kuiamgusha CCM .

Atawafitinisha wao Kwa wao Ili andiko litimie.

Tusubiri.

Ni njozi kusubiri CCM kufarakana.

CCM ni werevu ,ni chama Dola.
CCM Wana umoja wenye nguvu wakati wa Uchaguzi wa Raisi.

Kukiondoa Chama Dola kwenye utawala inawezekana kama Upinzani utakuwa na Umoja wa Kweli.

Adama Barrow aliweza kumwangusha Yahya Jammeh aliyetawala miaka 22,Gambia, kwa sababu chama chake kilikuwa na Umoja wa Kweli.
LOWASSA AJIUNGA CDM.jpg
 
Tugome tusiende vituoni kupiga Kura,tunapigia Kura mi CCM inaenda kupiga mnada raslimali za nchi
 
Hakuna jambo baya kama mmoja wenu kugeuka kuwa kibaraka dhidi ya jamii yake. Hicho ndicho kilichofanywa na wale wabunge bandia kule bungeni.

Wabunge hawa vibaraka waliongozwa na Musukuma na Nape, na wengine wote wakawaunga mkono.

Japo uchaguzi wa Tanzania huwa ni kiinimacho, tupambane kwa nguvu ya pamoja bila ya kujali vyama, hawa wabunge waovu, kusiwepo hata mmoja wa kwenda Bungeni. Hata kama una mapenzi makubwa ya chama chako kiasi, likionekana jina mojawapo la hawa baradhuli, hakuna kufikiria mara mbili, kura yako iwe kwa mwingine yeyote.

Mwaka 2025, baada ya kupiga kura hakuna kuondoka, kura zihesabiwe hadharani.
Tungeoondokana na ujinga huu tungepata wabunge wazuri sana
IMG-20230406-WA0001.jpg
JamiiForums-93732544.jpg
 
Back
Top Bottom