Mnada wa Mhunze
Senior Member
- Mar 1, 2023
- 168
- 818
Boss wa mhimili akiwa ndani ya private jet na kikundi chake
Tena kwenye tamasha la dini ambalo kwalo yeye kama mkristu halimhusu. Jiongeze!Serikali inamchukulia jet Spika?!! labda wanaogopa akipanda ndege ya abiria anaweza asishuke mzima kwa anazngua huwez jua anaweza anasakwa na raia waliojikatia tamaa na kuishi
Hii nchi vituko haviwez kuisha jana tumetoka kuona sadaka ya mama samia kwa mwamposa,yan mwamposa na utajiri wote ila mama bado anamuongezea yan ten mpya mpya zimeijaza bahasha ya kaki leo Spika yuko kwnt jeti kwenda MoroccoTena kwenye tamasha la dini ambalo kwalo yeye kama mkristu halimhusu. Jiongeze!
Dela bila chura sawa na kanzu tuuAlafu kavaa dela lenye maua ya parachichi Unyakyusa mwingi Mwaisa.
Hilo vazi la mzazi wodini ndio kutafuta uvaaji wa Kiislamu? Mweh😂Boss wa mhimili akiwa ndani ya private jet na kikundi chake View attachment 2654879
Hii nguo aliyovaa jamani khaa...hivi huwa hawana washauri wa kuvaa nguo husika katika occasion husika???Boss wa mhimili akiwa ndani ya private jet na kikundi chake View attachment 2654879
Natamani hata ipigwe na radi huko mawinguni,hawa watu wanatukwaza sanaBoss wa mhimili akiwa ndani ya private jet na kikundi chake View attachment 2654879
Khanga aliyoshona ina ujumbe unasomeka Alaa kumbe!!