Juhudi za hayati Magufuli zaanza kuzaa matunda

Juhudi za hayati Magufuli zaanza kuzaa matunda

misasa

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2014
Posts
17,863
Reaction score
14,700
Habari wa JF

IMG_20230612_225506.jpg


Sent from my WAS-TL10 using JamiiForums mobile app
 
Makusanyo ya fedha za Ndege zinazopita anga letu sio kitu kipya.
Nakumbuka makusanyo makubwa ATCL ni juhudi za hayati magufuli. Katika awamu ya nne suala la kujiendesha kwa hasara kwa shirika hilo ilikuwa ni mjadala wa kudumu katika bunge la kitaifa
 
Habari wa JF

View attachment 2655485

Sent from my WAS-TL10 using JamiiForums mobile app
Magufuli anaingiaje hapo Sasa. Yule ndo katuhalibia nchi kwa kununua madege kwa pupa na kuacha nchi Iko hoi bin taaban. Una bajeti ya trillion 32 halafu trillion 30 unanunua ndege si uendawazimu huo. Ndo mana katika utawala Wake hajawahi kuajiri Wala kupandisha madaraja wafanyakazi. Sasa hivi mama anaajiri hivyo magap private sector yapo mengi vijana wanaenjoy sana
 
Makusanyo ya fedha za Ndege zinazopita anga letu sio kitu kipya.
Magufuli anaingiaje hapo Sasa.

Ni kwa sababu hatukuwa na radar za kumulika Tanzania nzima, yeye alinunua radar 4 (za kiraia) kutoka ufaransa zilizowekwa Dar, Mwanza, kilimanjaro na Songwe. Hivyo kuona nchi nzima na nchi jirani, kabla ya hapo tulikuwa na radar moja tuu ya kiraia.
 
Back
Top Bottom