Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Haya nimejifunza baada ya kupitia vyombo vya habari na mitandao mbali mbali kuhusu mikataba ya makubaliano ambayo Dp World waliingia sehemu mbali mbali; 1. DP World ni kampuni kubwa duniani hasa...
14 Reactions
30 Replies
6K Views
Maisha yanaenda kasi sana! Kwa sasa hivi hapa Tanzania kama lipo kundi linatamani uhuru wa maoni binafsi ubinywe basi ni chawa wa Samia pro max. Kasi ya kukosolewa Samia kwenye mitandao ya...
9 Reactions
20 Replies
1K Views
Sio uongo Watanzania sisi ni watu wa ajabu sana. Mkitumia nguvu zenu kututetea hata hatuna muda, hatujali wala kufikiri bali inafika wakati hadi tunawakebehi. Lakini mambo yasiyo na faida kwetu...
9 Reactions
41 Replies
2K Views
Huo ndiwo ukweli. Wawakilishi wa wananchi hususani wabunge wote ni waoga kuukosoa Utawala wa Samia kwa hofu kubwa ya kutokuteuliwa 2025 kuwa wagombea wa nafasi hiyo. Kama yupo awaye na matarajio...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Kipengele hiki naambiwa kiko kwenye makubaliano kati ya Tanzania na Saudia kuhusu uendeshaji wa bandari ya Dar es Salaam. Naambiwaa ni mkataba si wa miaka 100 bali ule usio na kikomo...WOW...
17 Reactions
130 Replies
12K Views
Moja kwa moja kwenye hoja Mchakato wa kumleta DP World amezingatia sheria gani? Kwa Sheria ya Manunuzi imeweka takwa la mchakato wa manunuzi kuwa na ushindani wa wazi. Vipo vipengere...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Spika Tulia amesema wanaoamini nguvu ya dola ilitumika 2020 kuwaingiza wabunge wa CCM bungeni ni imani tu na hakuna mtu ameona mahali. Amesema nchi hii ina utaratibu wa kwenda mahakamani kuonesha...
6 Reactions
156 Replies
9K Views
Hii habari ya JKT Tanzania Nyerere aliiga China kwa Mao. Mao alivuruga kila kitu, watu wakatolewa mashuleni, kwamba haina maana na kupelekwa "JKT." Kigezo cha kuingia chuo kikuu kikawa si ufaulu...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Spika wa Bunge, Tulia Ackson ameongelea vyombo vya habari na kuwaomba waandishi hawapendezwi na habari za upotoshaji kuhusu Bunge kwasababu liko wazi. Tulia kasema wanawategemea Mwananchi...
17 Reactions
165 Replies
9K Views
Kama ilivyo kwa ajira nyingine ambazo kigezo mojawapo ni ukakamavu na uzalendo (JKT). Tunahitaji MBUNGE sifa ya kugombea iwe JKT na awe na historia ya KUTUMIKIA TAIFA kwa uzalendo kwa muda...
1 Reactions
3 Replies
626 Views
Kuuza lango la uchumi wa nchi au kutafuta wanahisa ni usariti mkubwa katika kuvunja katiba ya nchi: Bandari ni mali za watanzania wote hatuna wanahisa (shareholders) na hatuhitaji wanahisa...
8 Reactions
24 Replies
4K Views
Je, hii ni sawa? Hongera kibajaji Kwa kuhoji huu Ubaguzi uliofanywa na Mbowe. Si ajabu watu Huwa wanawashutumu Wachaga Kwa Ubaguzi na ukabila. Hivi msimamo wa Chadema kuhusu Muungano ni upi...
7 Reactions
87 Replies
7K Views
Kwani suala si kuongeza ufanisi kwa kuwa na miundo mbinu ambayo inaweza kusababisha kupitisha tani elfu 58. Je, hatukuweza kutafuta namna ya kupata njia ya kuboresha miundo mbinu? Bandari ni eneo...
0 Reactions
1 Replies
765 Views
Akiwa katika mjadala wa masuala ya mkataba wa serikali na Dubai ,Jenerali ulimwengu amesema bunge lililopo sasa ni bunge ambalo lipo lipo tu na halijulikani linamuwakilisha nani Jenerali...
31 Reactions
92 Replies
6K Views
Kila mtu anajua kabisa kuwa hawa waliopo Bungeni, ni wahalifu, hawakuchaguliwa na wapiga kura. Je, ni halali wahalifu wa kupora haki za wananchi za kuwachagua wawakilishi wao kupitia boksi la...
16 Reactions
27 Replies
3K Views
Kwa aina ya maraisi wengine waliopita na pale ambapo walitaka jambo lao litimie, mpaka sasa tungeshasikia habari za watu kupotezwa, kung'olewa kucha n.k Ila kwako naona ni tofauti, mpaka sasa...
1 Reactions
6 Replies
802 Views
Asalaam Aleykum wana JF wenzangu. Rejeeni mada tajwa hapo juu. Mimi nikiwa kijana Mzalendo wa Kitanzania, huwa ninakerwa sana na baadhi ya wabunge akiwemo Joseph Kasheku aka Musukuma hasa kwa...
3 Reactions
45 Replies
3K Views
Italia tuna msemo If your neighbor gets up early, you get earlier. Hakuna anayefurahia ukuaji wa uchumi wa Tanzania jitihada nyingi zinatumika kufifisha juhudi na huu ndiyo ukweli. mapigano ya...
0 Reactions
0 Replies
388 Views
BANDARI IMEUZWA au IMEKODISHWA? Suala la Bandari limekuwa gumzo. Hata Bubu wanaongea na woga unajaa ujasiri. Waliozoea kuongea wamekuwa bubu. Kwanini? 1. Je, imeuzwa au imekodishwa? 2. Je...
6 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu kuna jambo haliko sawa na tutakumbuka shuka tukiwa tumechelewa. Wawekezaji wote wanaokuja hapa huwa wanapambwa sana na wanasiasa mwisho wa siku tunaibiwa kizembe. Kipindi cha EPA mpaka...
1 Reactions
1 Replies
482 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…