Hali ya mazingira CHADEMA Makao Makuu inatutia aibu wanachama

Lugoda lwa chuma

Senior Member
Mar 21, 2023
179
338
Moja kwa moja niende kwenye mada, leo nimebahatika kuangalia uchambuzi wa ripoti ya CAG uliofanywa na mh.Mnyika!

Uchambuzi sina shida nao tatizo ni yale mazingira ilipo fanyika press. Yani wameweka meza nje afu nyuma ya ukuta umechoka balaa, podium yenyewe imepauka pauka yan leo ndo nimejua hadi mbao nayo inapuka kha!!

Bendera iliyopo nje ya ofisi kwenye mlingoti imepauka pau hadi imechanika kwenye pindo, hiyo ofisi ndo sitaki kuiongelea ilivyo, imechoka haifananii hadhi ya headquater!

Yani hata bati tu kurudia rangi mmeshindwa viongoz! Bati ilipakwa rangi nyekundu ila now ni damu ya mzee iliyo na mikwaruzo aibu viongozi! Mnafeli wapi?

Mbona zito na chama chake wameweza? Mambo ya majibu ya sijui chadema ofisi zipo miyoyoni mwetu wanachama hatutaki kuzikubali mnatudhalilisha!

Kama mmeshdwa itisheni mchango tuchange hatushindwi kuchanga hela likajengwa jengo lenye hadhi ya chama chetu.

Mwisho huu ni mtazamo na ushauri, usije kujibu hapa kwa mihemko jibu hoja.

Nawasilisha
 
Moja kwa moja niende kwenye mada, leo nimebahatika kuangalia uchambuzi wa ripoti ya CAG uliofanywa na mh.Mnyika! Uchambuzi sina shida nao tatizo ni yale mazingira ilipo fanyika press. Yani wameweka meza nje afu nyuma ya ukuta umechoka balaa, podium yenyewe imepauka pauka yan leo ndo nimejua hadi mbao nayo inapuka kha!! Bendera iliyopo nje ya ofisi kwenye mlingoti imepauka pau hadi imechanika kwenye pindo, hiyo ofisi ndo sitaki kuiongelea ilivyo, imechoka haifananii hadhi ya headquater! Yani hata bati tu kurudia rangi mmeshindwa viongoz! Bati ilipakwa rangi nyekundu ila now ni damu ya mzee iliyo na mikwaruzo aibu viongozi! Mnafeli wapi? Mbona zito na chama chake wameweza? Mambo ya majibu ya sijui chadema ofisi zipo miyoyoni mwetu wanachama hatutaki kuzikubali mnatudhalilisha! Kama mmeshdwa itisheni mchango tuchange hatushindwi kuchanga hela likajengwa jengo lenye hadhi ya chama chetu. Mwisho huu ni mtazamo na ushauri, usije kujibu hapa kwa mihemko jibu hoja. Nawasilisha
Mkuu usichukie, just kuwa na subira. Msemaji mkuu wa Chadema hapa JF ndugu Erythrocyte atakuja kutolea maelezo kuhusu ile M100 aliochangia Sabodo kwa ajili ya ujenzi wa ofisi.
Hiki ndio chama ambacho kinadai kitatuletea maendeleo.

Vuta subiri mwana ufipa mwenzangu.
 
Attachments

  • Screenshot_20220912-125326.jpg
    Screenshot_20220912-125326.jpg
    62.8 KB · Views: 3
  • images (3).jpeg
    images (3).jpeg
    28.5 KB · Views: 2
  • images (6).jpeg
    images (6).jpeg
    28.5 KB · Views: 2
Mkuu usichukie, just kuwa na subira. Msemaji mkuu wa Chadema hapa JF ndugu Erythrocyte atakuja kutolea maelezo kuhusu ile M100 aliochangia Sabodo kwa ajili ya ujenzi wa ofisi.

Vuta subiri mwana ufipa mwenzangu.
Mkuu usichukie, just kuwa na subira. Msemaji mkuu wa Chadema hapa JF ndugu Erythrocyte atakuja kutolea maelezo kuhusu ile M100 aliochangia Sabodo kwa ajili ya ujenzi wa ofisi.

Vuta subiri mwana ufipa mwenzangu.
Itapendeza kama huo mpango bado haujaaga dunia mana ni kitambo sana.
 
Moja kwa moja niende kwenye mada, leo nimebahatika kuangalia uchambuzi wa ripoti ya CAG uliofanywa na mh.Mnyika!

Uchambuzi sina shida nao tatizo ni yale mazingira ilipo fanyika press. Yani wameweka meza nje afu nyuma ya ukuta umechoka balaa, podium yenyewe imepauka pauka yan leo ndo nimejua hadi mbao nayo inapuka kha!!

Bendera iliyopo nje ya ofisi kwenye mlingoti imepauka pau hadi imechanika kwenye pindo, hiyo ofisi ndo sitaki kuiongelea ilivyo, imechoka haifananii hadhi ya headquater!

Yani hata bati tu kurudia rangi mmeshindwa viongoz! Bati ilipakwa rangi nyekundu ila now ni damu ya mzee iliyo na mikwaruzo aibu viongozi! Mnafeli wapi?

Mbona zito na chama chake wameweza? Mambo ya majibu ya sijui chadema ofisi zipo miyoyoni mwetu wanachama hatutaki kuzikubali mnatudhalilisha!

Kama mmeshdwa itisheni mchango tuchange hatushindwi kuchanga hela likajengwa jengo lenye hadhi ya chama chetu.

Mwisho huu ni mtazamo na ushauri, usije kujibu hapa kwa mihemko jibu hoja.

Nawasilisha
umeshindwa kujadir ufisadi wa serikali yenu ya ccm uliokubuhu uje ujadir ofisi ya chadema ulitaka na chadema ifanye ufisadi ili ijenge ofisi kama ambavyo huwa mnafanya huko lumumba, unamzungumzia zito ukimuhusianisha na chadema jibu ni kwamba jiungeni na zito dhidi ya chadema muone kama mtaiweza kama alishindwa shetan akaishia kufa sembuse masalia yaliyobaki kulinda legacy ya kipumbavu.
 
Bro simama af jipige kifua mara tatu ili upunguze makasiriko ujibu hoja.
 
Mkuu usichukie, just kuwa na subira. Msemaji mkuu wa Chadema hapa JF ndugu Erythrocyte atakuja kutolea maelezo kuhusu ile M100 aliochangia Sabodo kwa ajili ya ujenzi wa ofisi.
Hiki ndio chama ambacho kinadai kitatuletea maendeleo.

Vuta subiri mwana ufipa mwenzangu.
sabodo alikuwa anachangia mashoga ya ccm na wapumbavu wa sukuma gang na hajawahi kuichangia chadema kama kuna mtu anaamin kuwa sabodo aliichangia chadema naye ni mpumbavu na atakuwa roporopo akiulizwa maswali yafuatayo hatakuwa na majibu,
1. sabodo alichangia chadema lini.
2. sabodo alichangia chadema kwa njia ipi, cash,bank, mobile
3. sabodo alithibitisha lini kuwa ameichangia chadema.
Endapo majibu hayatapatikani kutoka kwa anayesema chadema ilichangiwa na sabodo nitaendelea kusema ni bora mheshimiwa samia aendelee kuwaletea tetez la mashoga ili muendeleze ushoga tu maana ndio kazi mnayoiweza imbeciles.
 
Moja kwa moja niende kwenye mada, leo nimebahatika kuangalia uchambuzi wa ripoti ya CAG uliofanywa na mh.Mnyika!

Uchambuzi sina shida nao tatizo ni yale mazingira ilipo fanyika press. Yani wameweka meza nje afu nyuma ya ukuta umechoka balaa, podium yenyewe imepauka pauka yan leo ndo nimejua hadi mbao nayo inapuka kha!!

Bendera iliyopo nje ya ofisi kwenye mlingoti imepauka pau hadi imechanika kwenye pindo, hiyo ofisi ndo sitaki kuiongelea ilivyo, imechoka haifananii hadhi ya headquater!

Yani hata bati tu kurudia rangi mmeshindwa viongoz! Bati ilipakwa rangi nyekundu ila now ni damu ya mzee iliyo na mikwaruzo aibu viongozi! Mnafeli wapi?

Mbona zito na chama chake wameweza? Mambo ya majibu ya sijui chadema ofisi zipo miyoyoni mwetu wanachama hatutaki kuzikubali mnatudhalilisha!

Kama mmeshdwa itisheni mchango tuchange hatushindwi kuchanga hela likajengwa jengo lenye hadhi ya chama chetu.

Mwisho huu ni mtazamo na ushauri, usije kujibu hapa kwa mihemko jibu hoja.

Nawasilisha
kwamba hili andiko lako la kijinga litazima kujiuzulu kwa Kasimu ?
 
Pale mtaa wa ufipa nilipita siku za karibuni, daah kama wamepanga wahame ila kama nikwao wapaboreshe
 
Moja kwa moja niende kwenye mada, leo nimebahatika kuangalia uchambuzi wa ripoti ya CAG uliofanywa na mh.Mnyika!

Uchambuzi sina shida nao tatizo ni yale mazingira ilipo fanyika press. Yani wameweka meza nje afu nyuma ya ukuta umechoka balaa, podium yenyewe imepauka pauka yan leo ndo nimejua hadi mbao nayo inapuka kha!!

Bendera iliyopo nje ya ofisi kwenye mlingoti imepauka pau hadi imechanika kwenye pindo, hiyo ofisi ndo sitaki kuiongelea ilivyo, imechoka haifananii hadhi ya headquater!

Yani hata bati tu kurudia rangi mmeshindwa viongoz! Bati ilipakwa rangi nyekundu ila now ni damu ya mzee iliyo na mikwaruzo aibu viongozi! Mnafeli wapi?

Mbona zito na chama chake wameweza? Mambo ya majibu ya sijui chadema ofisi zipo miyoyoni mwetu wanachama hatutaki kuzikubali mnatudhalilisha!

Kama mmeshdwa itisheni mchango tuchange hatushindwi kuchanga hela likajengwa jengo lenye hadhi ya chama chetu.

Mwisho huu ni mtazamo na ushauri, usije kujibu hapa kwa mihemko jibu hoja.

Nawasilisha
Makala yako inaonyesha jinsi ilivyokuwa rahisi kwa wanasiasa kuwa mabingwa wa kuikosoa serikali bila wao kuonyesha mfano kwa matendo na utawala bora. Chama kama Chadema kilichopokea mabilioni ya pesa za walipakodi ktk zaidi ya miaka 20 ya uhai wake kimeshindwaje mpk sasa kuendesha shughuli zake ktk jengo lenye hadhi na mazingira bora?
Jinsi leo Mnyika anavyowakosoa watendaji wa serikali kwa ufujaji wa fedha za umma ndivyo na yeye na viongozi wenzake wa Chadema wanavyostahili kusutwa. Nyote ni wafujaji sema Chadema hamjapata fursa ya kufuja zaidi.
 
Back
Top Bottom