Mzee Makamba "Kwa hatua anazochukua Rais Samia je, kuna mwenye mashaka tena na uwezo wa kutenda kazi?"

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,023
49,666
Mzee Makamba na Katibu Mkuu Mstaafu wa ccm amehoji kama kuna mtu ana mashaka tena na uweso wa kiutendaji wa Rais Samia kulingana na hatua Anazochukua.

Makamba amesema sio Haki kumfundisha kazi mh.Rais na hivyo aachwe afanye vile inavyostahili na anavyoona inafaa Kwa maslahi ya Nchi..

My Take.

Binafsi Sina shaka na uwezo wa Rais na kiukweli ana sifa moja kubwa kabisa ya kutotenda Kwa pressure Wala mihemko.Mwendazake alishindwa kabisa kudhibiti mihemko na pambio za wapambe..

Huku wanakusifia kule wanaiba
 
Back
Top Bottom