samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,495
- 24,222
Mh Rais bila shaka unajua kwa namna moja au nyingine kuna watu tulikuwa nyuma yako kukupambania uende ikulu na kuliongoza taifa hili, LENGO LETU HALIKUWA KUKUMBUKWA KWENYE UFALME WAKO,, ila zawadi kubwa tunayoihitaji kutoka kwako ni kufanya haya.
1. Kuyafunga na kuyaua majizi.
2. Kutufufulia air tanzania yetu.
3. Kufukuza,kuwafunga na kuwaua wazembe ili kupunguza uzembe kwenye taifa.
4. Kuongeza pato la taifa na kutokuwa maombaomba tena, kodi ikusanywe effectivery na
tuache ujanja ujanja.
5. Kuondoa usanii kwenye mambo ya msingi, utaifa mbele, ajiri watu active na ondoa wazembe na wapumbavu waliojaa kwenye system.
Just small twist for this 5yrs, and for the next round, its only automatic twist due to better foundation.
MKUU JPM HATUHITAJI ZAWADI NYINGINE ZAIDI YA HAYO, sisi tuliokupigania sio wanafiki ukipinda kona tunaanzisha tena vita na wewe..