Kitchener
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 13,828
- 27,714
Nawashauri mapipoz, kuna mengi sana yameendelea tangu mwendazake, hadi mama yetu. Kwenye siasa, sehemu pekee ya kushitaki ukapata haki, ni kushitaki sio mahakamani, ila kwa wananchi.
Sio kwamba ushitaki ili uchafue nchi au ulete fujo, nooo, unatengeneza hoja zenye mashiko na mifano vivid, na kuweka mezani wananchi waone na kuhukumu wenyewe kwenye kapu la uchaguzi.
Ni muhimu sana mambo yote haya kuanzia ya DP WORLD, na ufisadi mwingi ambao umerudi, chadema mshika kalamu kila siku, document it with examples, kampeni yenu itakuja kuwa raisi sana 2025.
Kwasababu mtatoa hoja ya CCM walichokifanya na sisiemu watakosa cha kujibu kwasababu ni jambo lililo wazi. ni ushauri tu.
Chagueni vijana kabisa wa kuweka kumbukumbu na kuanza maandalizi ya kampeni sasaivi kwa kuandika nini cha kuwaambia wananchi.