Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Leo siku ya Jumatatu kuanzia saa nne asubuhi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Paul Makonda ataongea na waandishi wa habari kutangaza listi ya wauzaji na watumiaji wa madawa ya kulevya kwa mara ya...
69 Reactions
3K Replies
290K Views
Watu wanasimama ukumbini, ishara ya raisi na mama Salma kuingia ukumbini. Anaketi meza kuu na viongozi wengine na watu wengine wanaketi. Anakaribishwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam kuongea...
36 Reactions
3K Replies
288K Views
Kwanza ningependa kukupongeza kwa juhudi zako za kutaka kuliboresha jiji letu hili la Dar. Nimekuwa nikifuatilia juhudi zako tangu ulipokuwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni. Naamini jitihada zako za...
6 Reactions
2K Replies
214K Views
  • Closed
St Mathew Secondary School S1071/0102 F JESCA JOHN MAGUFULI 30 IV CIV-D HIST-D GEO-D KISW-F ENGL-C B/MATH-F COMM-F ============ NECTA CSEE 2011 Hayo ni matokeo yake na sasa hivi anasoma UDOM...
39 Reactions
2K Replies
352K Views
Prof. Lipumba akiongea na waandishi wa Habari kwenye Hoteli ya Peacock Prof. Ibrahim Lipumba ametangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti kwenye chama chake cha Wananchi CUF. Ametangaza kuachia...
50 Reactions
2K Replies
214K Views
Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake kwa mujibu wa mawzo yake kwakuwa ana utashi wake binafsi so naomba nitoa mtizamo wangu na sitatoa maoni ili kumfurahisha mtu humu ndani ya Forum ni maoni...
35 Reactions
2K Replies
237K Views
Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda. Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi...
66 Reactions
2K Replies
343K Views
Ununuzi wa ndege ya 3 ya Bombadier umeingiliwa na mgogoro uliotengenezwa na wanasiasa na watu wasioitakia mema Tanzania. "Wanasiasa waliotengeneza mgogoro huo wanahujumu maendeleo ya nchi na...
15 Reactions
2K Replies
191K Views
Habari wakuu, Jana ilikua siku ya 365 tangu ilipotimia November tano mwaka Jana na nchi yetu kubadilisha utawala wake kwa njia ya kura zilizopigwa mwezi October. November tano akaapishwa Daktari...
37 Reactions
2K Replies
198K Views
SAFARI ya matumaini kuelekea ikulu imewadia. Tulianza pamoja kwa umoja na tutamaliza pamoja kwa umoja. Tumaini letu ni kwa mgombea mwenye maamuzi. Njoooni hapa wana LOWASSA tupeane update kwa...
12 Reactions
2K Replies
244K Views
Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina. Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndio...
37 Reactions
2K Replies
185K Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ameanza ziara yake ya siku 10 ndani ya jiji la Dar es salaam kwa ajili ya kusikiliza kero za wananchi pamoja na kuzitafutia ufumbuzi. Hii thread itakuwa...
8 Reactions
2K Replies
223K Views
Tundu Lissu MP HARDtalk HARDtalk's Stephen Sackur speaks to Tanzanian opposition MP, Tundu Lissu. Tanzania is one of Africa's fastest growing nations economically and demographically - it's also...
107 Reactions
2K Replies
224K Views
Salaam Wakuu, MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tanzania Bara Tundu Lissu anatarajiwa kuwasili nchini leo saa saba na dakika ishirini saa za afrika Mashariki...
172 Reactions
2K Replies
204K Views
Heshima kwenu wakuu, Leo Novemba 26 2017 ni Siku ya Uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata 43 Tanzania. Uchaguzi huu unafanyika kujaza nafasi zilizo wazi katika kata hizo Baada ya Madiwani...
35 Reactions
2K Replies
222K Views
Yafuatayo ni matokeo rasmi ya kura za maoni kwenye majimbo kama yanavyofanyika.Tutaendelea kuwaletea matokeo kila siku kadiri tutakavyokuwa tunayapata. Matokeo ya kura za maoni Jimbo Mlalo mkoa...
30 Reactions
2K Replies
351K Views
Lissu niseme wazi leo umegusa maisha ya Watanzania walio wengi. - Bima ya afya kwa Watanzania wote. - Hakuna tena kuibia wafanyabiashara maskini kwa kuwatoa elfu ishirini kila mwaka. - Hakuna...
179 Reactions
2K Replies
148K Views
Nasema "alitaka kumuua" kwa sababu ukiangalia yale matundu ya risasi upande wake wa gari utajua kuwa hawa watu hawakutaka kumtishia tu. Walidhamiria kumuua. Niungane na Watanzania wenzangu...
76 Reactions
2K Replies
196K Views
Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Bernard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki...
90 Reactions
2K Replies
140K Views
Utakuwa mkutano mkubwa wa aina yake kuwahi kufanyika kwa siku za hivi karibuni katika shughuli za kisiasa nchini. Mkutano huo utakaofanyika Jumatano, Julai 22, 2015 kuanzia majira ya saa 8 mchana...
72 Reactions
2K Replies
185K Views
Back
Top Bottom