Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ndiye mhasisi wa Taifa hili. Tarehe 14 october siku ya kumbukumbu yake kifo. Viongozi wanaishi maisha yake au tuwakumbushe maisha ya Kambarage. Moja hakuwa mroho...
0 Reactions
3 Replies
36 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Miaka 70 ya Usajili, Usimamizi na Udhibiti wa Jumuiya za Kiraia yanayotarajiwa...
0 Reactions
2 Replies
92 Views
Kaka Mwaipaya habari. Hapa ni Kilosa Morogoro Polisi amempiga mwananchi risasi kama unavyoona tunaomba utupazie sauti, huyu sio mwizi Bali ni raia mwema, kinachotuumiza ndugu yetu amepoteza...
5 Reactions
33 Replies
726 Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda, amefanya ziara ya kushtukiza katika Kituo cha Afya Kisesa usiku, kufuatia malalamiko yaliyotolewa na wananchi kuhusu huduma...
6 Reactions
29 Replies
594 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi...
2 Reactions
0 Replies
97 Views
02 Agosti 2026 Dokumentari - Usaliti kwa MAGUFULI Hadi Saa Yake ya Mwisho https://m.youtube.com/watch?v=de8Zv6MMh8c 🔴MUHTASARI WA VIDEO ▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬ Rais John Pombe Magufuli alikuwa...
16 Reactions
42 Replies
2K Views
Tunaweza kuona Viongozi wa juu wa CCM na Serikali wakipatwa na majanga ya kawaida kama yanayompata Mlalahoi wa Nangurukuru. Je, kuna Kiongozi Tanzania anaweza jivunia Usalama ukiacha kutembea na...
7 Reactions
20 Replies
238 Views
Madaraka yana-njia zake na usipojua njia za kushika maradaka hata uwe na akili kiasi gani ni ngumu sana kushika madaraka kama hujui zake Paul Makonda anajua njia za kushika madaraka na mara...
2 Reactions
21 Replies
249 Views
  • Redirect
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Mheshimiwa Salem Yousef Alhamdan, Balozi Mteule wa Kuwait hapa nchini, kwenye...
0 Reactions
– Replies
– Views
Hizi picha utazikuta kwenye page za Instagram, X, TikTok na social media zingine za chawa maarufu wa Albert Bashite Malyangili a.k.a Paul Makonda na CCM anayeitwa Maulid Kitenge.. Swali la...
3 Reactions
6 Replies
225 Views
https://youtu.be/Bi8UXltxoD0?si=wk0aI5aNZvrS8yUV Very rhetorical statement kuhusu simulizi ya kihistoria iliyorekediwa katika Biblia yaani Neno la Mungu aliye hai kumhusu aliyekuwa Mfalme (Rais)...
17 Reactions
60 Replies
2K Views
Ukitafakari kwa makini hii serikali ni upotevu mkubwa wa mda na rasilimali aisee. Hatujui nini kinafanyika mipango haieleweki kabisa n̈chi haiendi aisee. unajiuliza alitaka kuwa raisi ili iweje...
22 Reactions
43 Replies
726 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwa hukumu katika Kesi ya Kikatiba Na. 7300 ya mwaka 2026, inayohusu haki ya mawakili kukutana kwa faragha na Tundu Antipas Lissu akiwa...
4 Reactions
1 Replies
57 Views
Wakuu, amani iwe nanyi nyote HISTORIA KIDOGO Mwaka 1964 famili ya sultan na familia ya malkia ziliamua kuvunja vibanda vyao na kujenga nyumba moja kubwa ya kuishi. kwakuwa walikuwa ni majirani...
2 Reactions
8 Replies
208 Views
SAMIA KUHANI MSIBA WA CHIVAYO KESHO? Hopewell Chin'ono wa Zimbabwe ameandika katika ukurasa wake wa Facebook akidai kuwa vyanzo vyake vya taarifa vinasema kuwa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu...
10 Reactions
64 Replies
2K Views
Mwandishi Mohamed Said amezungumzia mwenendo wa kisiasa nchini na kueleza kuwa mtumishi wa serikali hatakiwi kuwa mwanachama wa chama tawala, Chama cha Mapinduzi (CCM). "Mfanyakazi serikali leo...
0 Reactions
8 Replies
140 Views
Mchango wa Maandishi wa ndg. Kabwe Zuberi Ruyagwa Zitto, Mb kwenye makadirio ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Sisi si Tanzania ya Nyerere, Ni Tanzania Mpya, Tanzania...
11 Reactions
32 Replies
4K Views
Hata polisi amejitahidi polisi amejitahidi kuokoa... Ah... Naomba nisikilizeni jamani. Mimi nachukua kile kilichonyooka. Mimi niko kwenye ukweli. Hatuwezi kuwa jeshi la polisi limefanya kazi ya...
2 Reactions
14 Replies
296 Views
https://youtu.be/FYBXRFe4JS4?is=ET9l6nWGdw2FMiVn
1 Reactions
7 Replies
179 Views
Kwa maoni yangu binafsi, Tetesi zinazoendelea za Makonda kum replace Madelu kwenye uwaziri mkuu sioni shida yoyote.
5 Reactions
26 Replies
385 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…