Fungua hiyo code mkuuA ya ya
Wakati mwingine hii minyumbu ikaushie kaka; imeishiwa, umechanganyikiwa. Faraja pekee waliyonayo ndo hivyo ku-air out mata,anio yao ya kishetani ambayo Mungu ameshayakataa muda tu.Vice President yupo,
Acheni ujuaji, majukumu ya kitaifa yapo mengi anaweza kuwa sehemu nyingine.
Lakini pia kuna dharula,
Kuumwa na mambo mengine mengi binafsi.
Hapana mkuu,Wewe ni msemaji wake?
Huu uwanja una CCM wengi kuliko wapinzani na mimi nikiwa CCM kindakindaki.Wakati mwingine hii minyumbu ikaushie kaka; imeishiwa, umechanganyikiwa. Faraja pekee waliyonayo ndo hivyo ku-air out mata,anio yao ya kishetani ambayo Mungu ameshayakataa muda tu.
Nimemsikia madeleka kaeleza kwa kina.Ukiingia kwenye Siasa . Hakikisha umejitoa sadaka lolote laweza kutokea baya au zuri. Haijalishi chama tawala au upinzani.
Tunachofichwa ni kwamba Siasa haijawahi kumuacha mtu salama unaye mwona mwema nje ndiye mbaya ndani na kinyume chake ni sahihi.
NB. Tupiganie katiba mpya. Itakayoleta mfumo sawia kwa kila mtanzania.
Bado haiondoi hoja yangu kuwa minyumbu yafaa ipotezewe wakati mwingine.Huu uwanja una CCM wengi kuliko wapinzani na mimi nikiwa CCM kindakindaki.