Asiaminike sana, system wengi huwa hawastaafu

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,053
Reaction score
46,704
Na anajitahidi kuweka imani aaminike,

System inaweza kukufunga hata gerezani miaka kadhaa uchunguze mtu fulan mfungwa au tukio fulan ndani,

Na ika ku harass sana huku nyuma ya mlango ikikupoza kiaina,

Wanaoona karibu wakakuamini na kukuweka kwenye Taasisi zao ,

Au mwanachama anayesumbua akahama chama tawala akaenda Upinzani, naye system ikasema nenda mchunguze, jiunge gombea ubunge huko huko

Suspect anyone trust no body

Britanicca
 
Madeleka huyo ujue, sijawahi kumuamin
 
Mamluki hawezi kujificha kwa watu wenye umakini ndani ya maisha yao.

Kuna vitu rahisi sana vya kunasa mamluki wa aina yoyote.

Sasa tazama mtu kama huyo, utasema kweli kwamba pamefanyika ufundi wowote pale wa kuwafumba watu akili?
 
Nimewaambia sana kuhusu huyo mtu.

Ni pandikizi la CCM Dola.
Ni Askari police.
Ni mtu wa Kipepeo mweusi.
Ni Mwanasheria.

Anataka kuaminika kwa watanganyika Aende CHADEM apate NAFASI awavuruge vibaya mno.

MADEREKA NI KIRUSI HATARI.
NIGUSE NINUKE.
 
Na anajitahidi kuweka imani aaminike,

System inaweza kukufunga hata gerezani miaka kadhaa uchunguze mtu fulan mfungwa au tukio fulan ndani,

Na ika ku harass sana huku nyuma ya mlango ikikupoza kiaina,

Wanaoona karibu wakakuamini na kukuweka kwenye Taasisi zao ,

Au mwanachama anayesumbua akahama chama tawala akaenda Upinzani, naye system ikasema nenda mchunguze, jiunge gombea ubunge huko huko

Suspect anyone trust no body

Britanicca
Do not trust your mouth, your body will endup in jail.
 
Back
Top Bottom