baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 13,841
- 16,399
Hiwezekani serikali inayosema kazi na Utu inakubali raia wake anatoeaka na kupotea kama upepo hii haiwezekani haikubaliki kwa sisi wapenda haki na amani lazima tujue Polepole yuko wapi ni mzima amekufa.
Polepole kama alikua na makosa alitakiwa kufikishwa mahakamani kwangu mimi Polepole hakuna kiapo alichovunja kutokana na maadili ya utumishi wa Umma yote ambayo aliongea balozi Polepole sio mageni kwenye maskio ya watu huyu kama hana kosa au kuna sheria alivunja tunaomba serikali itoke itwambie kosa la Polepole ni lipi?