CAG amgusa Sirro mfuko wa maafa

CAG amgusa Sirro mfuko wa maafa

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
11,959
Reaction score
28,200
Sasa Rais Samia atengue uteuzi wa balozi siro aje Tanzania ahojiwe zilipo billion 4.8 alizoiba na genge lake pale makao makuu ya wizara ya mambo ya ndani kupitia Sacco's ya jeshi ,alikuwa anaagiza tu zichotwe

Hii imeoza aisee, huyu mzee tuliambiwa alipaswa kuwa padre ila hakufaulu na kuhamia kulinda mali za umma na raia ,kumbe akilinda huku akiiba .

Juzi jeshi la polisi la Tanzania linasema kuna afisa ameiba pesa za michango ya polisi kisha akakimbilia Africa kusini kumbe ni mnyororo wa wa IGP siro ,so hapa kuna tuhuma pia za baadhi ya wakuu wa polisi kumsaidia yule kutoroka maana walikula naye na alipewa maagizo achote pesa kutoka juu kwa kina siro

Ni bora sasa Mh Rais Samia Suluhu Hassan atengue uteuzi wake aje hapa Tanzania akamatwe na kuhojiwa zilipo billion 4.8 na afanikishe kukamatwa kwa yule aliyetoroka.

Nawatakia pasaka njema

USSR
FB_IMG_1681019558977.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anayepaswa kuwajibika ni anayewateua hawa na kuwahamisha hamisha wakishaharibu.

Haiwezekani nchi nzima iwe na viongozi wale wale miaka 20+ huku wakirudia makosa yale yale.

Tmekuwa Taifa la ajabu sana
 
Rais Samia wala usihamaki na kuyumbishwa na makelele haya. Jiwe aliiba 1 5 trilioni lkn sukuma gang wakaendekea kumsifia.

Mama umefanya mengi ktk kipindi kifupi. Umerejesha furaha, amani na upendo kwa watanzania.

Hizi ni kelele za sukuma gang tu
 
Kwa hiyo waendelee kuiba
 
Sasa Rais Samia atengue uteuzi wa balozi siro aje Tanzania ahojiwe zilipo billion 4.8 alizoiba na genge lake pale makao makuu ya wizara ya mambo ya ndani kupitia Sacco's ya jeshi ...

Ndio maana polisi wakiambiwa wapige raia na kusimamia wizi wa kura wanatii, maana wanajua ukiingia uongozi mwingine Madudu yao yatakosa wa kuwalinda. Kwa sasa hawana hofu ya kuchukuliwa hatua, maana hata wao wamefanikisha serekali hii ya majizi ya kura kuingia madarakani bila ridhaa ya umma.
 
Kama amehusika na upotevu huo ahifadhiwe lupango ili asije akadhuriwa na raia wenye hasira kali.

Hebu aitwe ahifadhiwe
 
Sasa Rais Samia atengue uteuzi wa balozi siro aje Tanzania ahojiwe zilipo billion 4.8 alizoiba na genge lake pale makao makuu ya wizara ya mambo ya ndani kupitia Sacco's ya jeshi ,alikuwa anaagiza tu zichotwe

Hii imeoza aisee ,huyu mzee tuliambiwa alipaswa kuwa padre ila hakufaulu na kuhamia kulinda mali za umma na raia ,kumbe akilinda huku akiiba .

Juzi jeshi la polisi la Tanzania linasema kuna afisa ameiba pesa za michango ya polisi kisha akakimbilia Africa kusini kumbe ni mnyororo wa wa IGP siro ,so hapa kuna tuhuma pia za baadhi ya wakuu wa polisi kumsaidia yule kutoroka maana walikula naye na alipewa maagizo achote pesa kutoka juu kwa kina siro

Ni bora sasa Mh Rais Samia Suluhu Hassan atengue uteuzi wake aje hapa Tanzania akamatwe na kuhojiwa zilipo billion 4.8 na afanikishe kukamatwa kwa yule aliyetoroka.

Nawatakia pasaka njema

USSR View attachment 2581871

Sent using Jamii Forums mobile app
WALIOPEWA JUKUMU ZA KULINDA PESA ZETU NDIO WANATUIBIA
 
Anayepaswa kuwajibika ni anayewateua hawa na kuwahamisha hamisha wakishaharibu.

Haiwezekani nchi nzima iwe na viongozi wale wale miaka 20+ huku wakirudia makosa yale yale.

Tmekuwa Taifa la ajabu sana
Ifike wakati wanaoteuliwa wapimwe uwezo wa kazi na wananchi tena kwa kura siyo mwonekano
 
Back
Top Bottom