Wenye akili wanaweza kuwa wafuasi wa - CDM, ACT, NCCR au CUF?

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Oct 7, 2020
1,391
1,258
Jf, members!
Salaam!

Nauliza iwapo watu wenye uelewa wa hali ya juu kama wale wa CCM iwapo wanaweza shangilia au kuwa wafuasi wa CDM, ACT, NCCR, au CUF. Nauliza hivi sbb hizi:-

(a). CDM - mwenyekiti wao kawa Mungu watu, tangia aingie madarakani ni miaka lukuki na wafuasi wako kimya kbs! Achilia mbali uelewa wao kuhusu wanawake wa vikoba, na bodaboda;

(a). ACT - chama chenye kiongozi wa chama asipenda kukosolewa na hakuna kifungu ktk katiba yao kinachoweza mwajibisha kiongozi;

(c). CUF an NCCR nikama ilivyoelezwa kwa CDM.
Sasa hivi kwa muktadha huu vyama vya upinzani vimeingia na kusajili ili viisaidie CCM au ili vipate kuongoza nchi!

Wafuasi zindukeni, ninyi ni binadamu si nyumbu.

Msakila Kabende
Kakonko
 
Punguza porojo mkuu. Una akili kb 1

Watakuwaje cdm, cuf, watagawana Nini huko? Wako CCM kugawana keki ya taifa.

Siku CDM ikishika dola utawaona wanahamia huko.

Vitu vidogo km hivi so vya kauandikia topic humu. Viko wazi!

Chadema hawakusanyi Kodi, kule CCM ukishaiba unapewa ulinzi wa tiss na polisi ,ulinzi wa chama Ndiyo usiseme.
Wawe Chadema wakagawane Nini huko. Waache kufurahia maisha halafu iweje!

CCM Hakuna wenye akili Bali mduara/circle ya majizi yaliyokubuhu.

..... STATE CUPTURE.....
 
Wewe ni popoma!
 
Kwa hiyo wewe unahakili kushinda wote walio kwenye vyama hivyo?hailing yako inafanana na sura yako. Miongoni mwa waandishi wahabali wajinga ni wewe.
 
Punguza porojo mkuu. Una akili kb 1

Watakuwaje cdm, cuf, watagawana Nini huko? Wako CCM kugawana keki ya taifa.

Siku CDM ikishika dola utawaona wanahamia huko.

Vitu vidogo km hivi so vya kauandikia topic humu. Viko wazi!

Chadema hawakusanyi Kodi, kule CCM ukishaiba unapewa ulinzi wa tiss na polisi ,ulinzi wa chama Ndiyo usiseme.
Wawe Chadema wakagawane Nini huko. Waache kufurahia maisha halafu iweje!

CCM Hakuna wenye akili Bali mduara/circle ya majizi yaliyokubuhu.

..... STATE CUPTURE.....
Mleta mada kaongelea uenyekiti wa kudumu wa Mbowe chadema na nafasi ya kiongozi wa chama pale ACT.

Tuwe imara kupangua hoja tusipindepinde. Kwa kufanya hivyo titawavuta hata hawa wanaohoji.

Anayehoji asichukuliwe kuwa ni adui. Kwasabb akijibiwa vema anaweza kuwa mwanachama hapo kesho
 
Wewe ni genius sana. Nimezungumzia uongozi wa kudumu CDM, ACT, NCCR, CUF - how come vyama vinavyotegemewa kuchukuwa dola viwe na hulka mbaya hivi!!!
 
Wenye akili tulishajiondoa chadema, wakabaki nyumbu tu
Ukaenda wapi mkuu?
Elewa kwamba viongozi wote wa ccm wana interests zinazofana na hivi zimejenga culture ambayo ndiyo inabomoa maendeleo halisi.
Intetests kubwa kabisa ni kuwa na mamlaka na kuyatumia ku survive kwa kila nyanja. Mamlaka wamepata na kazi kubwa ni kuya retain pemanently by any and all means.
Hao kina cdm, cuf, cuf jitihada zao ni kuibomoa ccm kwa mwitikio mdogo sana wa raia.
Wananchi wanapaswa kufahamu wafanye nini kuyakomboa maisha yao.
 
Jf, members!
Salaam!

Nauliza iwapo watu wenye uelewa wa hali ya juu kama wale wa CCM iwapo wanaweza shangilia au kuwa wafuasi wa CDM, ACT, NCCR, au CUF. Nauliza hivi sbb hizi:-

(a). CDM - mwenyekiti wao kawa Mungu watu, tangia aingie madarakani ni miaka lukuki na wafuasi wako kimya kbs! Achilia mbali uelewa wao kuhusu wanawake wa vikoba, na bodaboda;

(a). ACT - chama chenye kiongozi wa chama asipenda kukosolewa na hakuna kifungu ktk katiba yao kinachoweza mwajibisha kiongozi;

(c). CUF an NCCR nikama ilivyoelezwa kwa CDM.
Sasa hivi kwa muktadha huu vyama vya upinzani vimeingia na kusajili ili viisaidie CCM au ili vipate kuongoza nchi!

Wafuasi zindukeni, ninyi ni binadamu si nyumbu.

Msakila Kabende
Kakonko

Wewe mwenyewe una akili?. Mbona zimepungua Sana kwako.
 
Mleta mada kaongelea uenyekiti wa kudumu wa Mbowe chadema na nafasi ya kiongozi wa chama pale ACT.

Tuwe imara kupangua hoja tusipindepinde. Kwa kufanya hivyo titawavuta hata hawa wanaohoji.

Anayehoji asichukuliwe kuwa ni adui. Kwasabb akijibiwa vema anaweza kuwa mwanachama hapo kesho

Kila chama kina utaratibu wake. Mbona CCM Mwenyekiti hapingwi. Suala la Mbowe litafikia mwisho akistaafu mwaka huu.
 
Back
Top Bottom