The lost
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 2,695
- 8,209
Natafakari sana lakini sipati majibu, kati ya taasisi ya umma yenye magari ya kifahari halafu Kwa idadi kubwa basi ni hawa TRC. Wanamiliki magari mengi tena ya kifahari lakini sijui Kama taifa limewapa ruzuku ama ni faida kutoka katika huduma wanayotoa.
Shirika hili za reli linatumia magari yenye plate namba zinazoanzia na RAC na magari Yao ni new generation kabisa kampuni ya Toyota kuanzia SUV mpaka pickup. Suala hapa siyo magari Bali idadi ya magari ni mengi mno for no solid reason.
Unakuta magari zaidi ya 6 Kwa pamoja yote ya shirika la reli yanafukuzana sijui kukagua SGR kitu ambacho ni anasa. Wizara mtoke Sasa mtuambie hawa TRC wamekopa pesa kununua Magari ama serikali imetoa ruzuku ya kuwanunulia magari?