Upotevu wa zaidi ya Sh. Trilioni 1.5: Ni aibu nchi nzima kumuachia Zitto pekee ahoji jambo hili!

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
Nchi hii ina watu wengi wasomi na wenye umaarufu na ushawishi katika jamii lakini wamekaa kimya kabisa kuhusu huu upotevu wa zaidi ya shilingi bilioni 1.5 uliowekwa hadharani na mbunge Zitto kabwe kwa kushirikiana na chama chake cha ACT Wazalendo baada ya kuichambua ripoti ya CAG ya mwaka wa fedha wa 2016/2017.

Baada ya Zitto na chama chake kuanika madudu haya yaliyomo katika ripoti ya CAG, nilitarajia kuona wasomi,wanasiasa na wanaharakati wakiungana na Zitto kutaka serikali itoe maelezo na kulitaka Bunge lihoji ni wapi fedha hizi zimekwenda lakini naona muitikio ni mdogo kulinganisha na kiwango cha fedha kilichopotea.

Nina hakika jambo hili lingekuwa limetokea katika nchi za wenzetu saa hizi Bunge lingekuwa limewaka moto na raia mitaani wangekuwa wameshajimwaga kutaka uwajibikaji lakini Bongo hii hali nI tofauti kabisa.

Na kwa unafiki wetu,jambo hili lingekuwa limeibuliwa na Mkulu,basi kwenye media zote saa hizi ndio ungekuwa mjadala na hata Bunge lingekuja juu na kupongeza lakini maadamu ni mpinzani watu wanapiga kimya kama vile hawajui nini kinaendelea na ndio maana husiki cha wanaharakati wala wasomi wakijitokeza ama kuhoji au kumpongeza Zitto.

Wabongo sijui kama tunawaza sawa sawa!!

Wakati BBC Swahili wakimuhoji Zitto kuhusu jambo hili,hapa kwetu baadhi ya vyombo vya habari kwao jambo hili si issue sana na ndio maana wamelipa uzito mdogo.

Soma : Serikali imepoteza TZS 1.5 trilioni mwaka 2016/17. Imetumia Mabilioni kinyume na Utaratibu, Imelipa Madeni Hewa...
 
Jiwe anagawa mzigo kama father Christmas
IMG_20180416_222940.jpg
 
Nchi hii ina watu wengi wasomi na wenye umaarufu na ushawishi katika jamii lakini wamekaa kimya kabisa kuhusu huu upotevu wa zaidi ya shilingi bilioni 1.5 uliowekwa hadharani na mbunge Zitto kabwe kwa kushirikiana na chama chake cha ACT Wazalendo baada ya kuichambua ripoti ya CAG ya mwaka wa fedha wa 2016/2017.

Baada ya Zitto na chama chake kuanika madudu haya yaliyomo katika ripoti ya CAG, nilitarajia kuona wasomi,wanasiasa na wanaharakati wakiungana na Zitto kutaka serikali itoe maelezo na kulitaka Bunge lihoji ni wapi fedha hizi zimekwenda lakini naona muitikio ni mdogo kulinganisha na kiwango cha fedha kilichopotea.

Nina hakika jambo hili lingekuwa limetokea katika nchi za wenzetu saa hizi Bunge lingekuwa limewaka moto na raia mitaani wangekuwa wameshajimwaga kutaka uwajibikaji lakini Bongo hii hali nI tofauti kabisa.

Na kwa unafiki wetu,jambo hili lingekuwa limeibuliwa na Mkulu,basi kwenye media zote saa hizi ndio ungekuwa mjadala na hata Bunge lingekuja juu na kupongeza lakini maadamu ni mpinzani watu wanapiga kimya kama vile hawajui nini kinaendelea na ndio maana husiki cha wanaharakati wala wasomi wakijitokeza ama kuhoji au kumpongeza Zitto.

Wabongo sijui kama tunawaza sawa sawa!!

Muite KINENEKO na Milestone - Boriti wakusaidie.

Hivi hela ambayo haiko mikononi mwako inapoteaje?
 
Nchi hii ina watu wengi wasomi na wenye umaarufu na ushawishi katika jamii lakini wamekaa kimya kabisa kuhusu huu upotevu wa zaidi ya shilingi bilioni 1.5 uliowekwa hadharani na mbunge Zitto kabwe kwa kushirikiana na chama chake cha ACT Wazalendo baada ya kuichambua ripoti ya CAG ya mwaka wa fedha wa 2016/2017.

Baada ya Zitto na chama chake kuanika madudu haya yaliyomo katika ripoti ya CAG, nilitarajia kuona wasomi,wanasiasa na wanaharakati wakiungana na Zitto kutaka serikali itoe maelezo na kulitaka Bunge lihoji ni wapi fedha hizi zimekwenda lakini naona muitikio ni mdogo kulinganisha na kiwango cha fedha kilichopotea.

Nina hakika jambo hili lingekuwa limetokea katika nchi za wenzetu saa hizi Bunge lingekuwa limewaka moto na raia mitaani wangekuwa wameshajimwaga kutaka uwajibikaji lakini Bongo hii hali nI tofauti kabisa.

Na kwa unafiki wetu,jambo hili lingekuwa limeibuliwa na Mkulu,basi kwenye media zote saa hizi ndio ungekuwa mjadala na hata Bunge lingekuja juu na kupongeza lakini maadamu ni mpinzani watu wanapiga kimya kama vile hawajui nini kinaendelea na ndio maana husiki cha wanaharakati wala wasomi wakijitokeza ama kuhoji au kumpongeza Zitto.

Wabongo sijui kama tunawaza sawa sawa!!

Wakati BBC Swahili wakimuhoji Zitto kuhusu jambo hili,hapa kwetu baadhi ya vyombo vya habari kwao jambo hili si issue sana na ndio maana wamelipa uzito mdogo.
Usahihi ni 1.5 Trilioni, na aliyegunduwa upigaji huu ni CAG na siyo Zitto Kabwe.

Zitto amechambuwa findings za CAG na kuziweka hadharani.

Usione watu wamekaa kimya tarehe 26 utapata majibu kamili, hujui walionayo watu mioyoni.
 
Mpaka leo Magu hajasema Sherehe za muungano zitaadhimishwa mkoa gani. Na zimebaki siku 10 tu...
Ngoja tukaze hivi hivi hadi 2604 atajua moto unalipuka kona zote..
 
Back
Top Bottom