Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

SPIKA wa Bunge Dk. Tulia Ackson amesema serikali haitalazimika kujibu hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) wakati wa Mkutano wa Bajeti unaoendelea na kwamba Bunge...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Ndugu wana JF na watanzania kwa ujumla, Nachukua fursa hii kuwashukuru wote mlioguswa kusikia nimeitwa na Jeshi la Polisi kwa mahojiano baada ya magazeti mawili leo kunihusisha na linalodaiwa...
379 Reactions
303 Replies
31K Views
Mkoa wa Arusha unaongoza nchini kwa kupatikana na kuchukuliwa kwa matumizi ya huduma za simu, posta na utangazaji; kwa mujibu wa takwimu za hivi karibuni na matokeo ya utafiti mdogo. Arusha...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ametaja sababu ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kupata hati chafu mfululizo kuwa ni urithi wa matatizo ya hesabu za...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Maandamano makubwa yameanza eneo la Fire Kariakoo yakiwa yameandaliwa na ACT-Wazalendo kushinikiza wezi wote walionaswa na Ripoti ya CAG waondolke maofisini kwenda magerezani. Maandamano...
46 Reactions
187 Replies
12K Views
Kuna clip ya video inatambaa kwa kasi ikimuoesha mkurugenzi wa habari maelezo Ng ,Gerson Msigwa akisema kuwa hawakulifungia gazeti la Tanzanite linalomilikiwa na msiba kwa kuhapisha habari za...
7 Reactions
119 Replies
17K Views
MHE. JAFARI WAMBURA - SIMAMIENI FEDHA VIZURI MSISUBIRI RIPOTI YA CAG Mbunge wa Rorya Mkoa wa Mara, Mhe. Jafari Wambura Chege tarehe 18 Aprili, 2023 amechangia bajeti ya TAMISEMI ya Makadirio ya...
0 Reactions
0 Replies
607 Views
Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Hamis Kigwangalla amesema Mohamed Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri ndio sababu amemfuta kwenye orodha ya Rafiki zake Nimeamua kumpuuza na...
29 Reactions
316 Replies
21K Views
ASKOFU Benson Bagonza amesema Rais ni sehemu ya bunge, Bunge haliwezi kuiwajibisha Serikali kwa kuwa Rais ni sehemu ya Bunge. "Rais ni sehemu ya bunge, Bunge haliwezi kuiwajibisha Serikali kwa...
1 Reactions
11 Replies
860 Views
Ifikie wakati wananchi tupige kelele juu ya propaganda chafu. Kuna magazeti mawili Fahari Yetu na Tanzanite haya magazeti hanaandika habari za uongo na za kutunga tu kuwachafua viongozi wa...
1 Reactions
21 Replies
6K Views
Cypriani Musiba amesema kuwa matukio yote ya uharifu kama utekaji na mauaji yamekuwa yakifanywa na kikundi kilichopo ndani ya CHADEMA kinachoitwa TUME kinachoongozwa na mbunge wa Arusha Mjini...
13 Reactions
526 Replies
52K Views
Pamoja na mapito ya hapa na pale na kufanyiwa mtimanyongo na mahasimu wake wa Kisiasa lakini Dr Kigwangalla amesimama Imara Dr Kigwangalla ni Mzalendo asiyetaka ujinga, asiyeogopa kuhoji na...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Leo waziri wa Mawasiliano, Nape ametoa taarifa kuhusu kufungiwa kwa akaunti nyingi sana za Instagram, Facebook na Twitter zinazojuhusisha na suala la ushoga. Wamewezaje kuzifungia akaunti katika...
2 Reactions
74 Replies
5K Views
Habari zenu wana JF wenzangu. Katika pitapita zangu maeneo fulan nimekutana na hii habari kutoka kwa mtu wa karibu mno wa msanii huyo, akidai kwamba Diamond yuko katika mchakato wa kulishangaza...
6 Reactions
132 Replies
8K Views
Swali ni je imekuwa scientifically approved au politically approved? The F.D.A. approved full licensure of the Pfizer vaccine this morning and has also, I’m sure you’re aware, back in August on...
3 Reactions
175 Replies
13K Views
Katika muktadha wa historia ya Zanzibar kuna wanaoamini kuwa hata Marehemu Mzee Karume mwenyewe alijutia yale maamuzi yake ya kuiunganisha Zanzibar na Tanganyika na kuunda Jamhuri ya Muungano wa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Leo Bungeni, waziri Tax ametoa wito kwa pande zinazohasimiana Sudan zifikie suluhu na kulaani mapigano hayo. Tax amesema wapo watanzania 210 na hadi sasa hawajapata taarifa ya mtanzania...
0 Reactions
1 Replies
701 Views
Tunahitaji kuwekana wazi tujue na hao viongozi wajue kumbe jamii inawatizama utendaji wao wa kazi. Mimi naanza na Jimbo la Kawe, wazee tuliyakanyaga. Gwajima hana jipya, tunaomba 2025 ifike...
8 Reactions
107 Replies
9K Views
Wabunge waache huu utaratibu wa kufuturishwa kule Dodoma, Bunge linazidi kuwa too low sana, Juzi niliona Benki ya CRDB inawafuturisha, sasa chukulia kwamba Benki ikajikuta kwenye kashifa kubwa za...
9 Reactions
67 Replies
5K Views
Fuatilia yanayojiri Bungeni leo Aprili 19, 2023 kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 9. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja amesema "Kuna changamoto ya Popo wanaozunguka...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…